Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado ,huko Tuchelewe washaanza kumuona kiazi.Kuna watu washapoteza mwelekeo kabisa.
Ukishabikia Man City Raha sana.Na bado ,huko Tuchelewe washaanza kumuona kiazi.
Uje Tena tarehe mojaMahesabu simple kabisa, mechi 3 mnazo enda kucheza kuanzia leo.
Brentford
Asenane
Chelsea
Leo ndio mnaanza kupoteana hizo game zote 3 mnapoteza
HV dirisha LA usajilii si bado how come amesajiliwa__?.kashatua Barcelona View attachment 2060968
Ni mwendo wa WIN+++, Tunafunga mwaka na10 consucative win in a row....Hatariii sanaa acha Pep aitwe Guardiola, HOPE NEW YEAR W'LL BE NICE THAN EVER CONGLATULATION TO ALL OF US....#ProudlyToBeCITYFAN!!!Ukishabikia Man City Raha sana.
Katika miaka kumi iliyopita labda tumelia mara moja tu epl
Wengine kila mwaka ni vilio tu
Angekuwa mzee wa pressing ,angetangaza ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nachompendea huyu jamaa hua havimbi licha ya kuwa ni topClassCoach mwenye high profile kwasasa Na anakwambia bado kuna point 54 za kutafuta hivyo...tumeshinda jana lakini bado haamini katika ubingwa...ila angekuwa bwana tuchelewe apo angetoa maneno ya umwamba sana asee.
#THE_BOSS_GUARDIOLA!!!
View attachment 2062857
hao arsenal vile wanaona wamechangamka against a mid-table opponents ndo wanahisi watamtuliza city eti😀😀😀😀😀, kiuhalisia ukishakua timu ya kufunguka na kucheza open play kama arsenal lazima PEP akubonde tu, It's much Obviuosly...Let's Wait and See It's just a matter Of how Many.Game inayofuata ni arsenal then nawaombea Liverpool na noise maker watoke suluhu ili tuzid kujichmbia kilelen
OffCourse but IN PEP WE TRUST!!!Angekuwa mzee wa pressing ,angetangaza ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwisho wa siku Kawabadilikia ameamua kusema ukweli na kuwaambia tu kuwa ubingwa wasahau!!!...maana TIMU YAO ISHAKATA MOTO YAYARI.Angekuwa mzee wa pressing ,angetangaza ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]