Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
guaranteed, as a premier league called it "CONTENDER FOR A GAME OF THE SEASON"Leo lecister city lazima atuachie point 3
Ulikuw sahiha na uwezo wa fernandinho kukata umeme umepungua pale kati maana angekuwa rodri dimbani angezima kabisa ile mianya ya kina madson ila sio mbaya point tatu mfukon kwa city na kengine ni kuwa leicester huwa wanatukazia wakija etihad refer ile 1-5 msimu uliopita!Kweli lakini age inaniogopesha, Rodrigo akiwepo timu inatulia
ilikuwa 5-2 mkuuUlikuw sahiha na uwezo wa fernandinho kukata umeme umepungua pale kati maana angekuwa rodri dimbani angezima kabisa ile mianya ya kina madson ila sio mbaya point tatu mfukon kwa city na kengine ni kuwa leicester huwa wanatukazia wakija etihad refer ile 1-5 msimu uliopita!
Ndio hiyo...nakumbuka leicester walikaza sana misuli ikala kwetu na ilikuwa hapohapo etihad sasa walifikiri leo ile miracle will work again!ilikuwa 5-2 mkuu
Hapa city kila siku sherehe kama ni msosi ni jambo la kubadili mboga tu kwamba leo biriani kuku...kesho biriani mbuzi, chini ya udhamini mnene wa PEP HIMSELF!...mkuu najua ili tiktaka la etihad unakumbukia barca yako those days!City oye, oyee....
HahhaaaaaaaHapa city kila siku sherehe kama ni msosi ni jambo la kubadili mboga tu kwamba leo biriani kuku...kesho biriani mbuzi, chini ya udhamini mnene wa PEP HIMSELF!...mkuu najua ili tiktaka la etihad unakumbukia barca yako those days!
View attachment 2058880
Ni kweli wanatukazia, Ila Rodrigo anaipa utulivu sana timu, yeye ndo ana control temper ya game, uwezi kuona tunashambuliwa kupitia katikati kama Jana. Sita kwa tatu ni ushindi mkubwa sana,tuangalie game inayofuataUlikuw sahiha na uwezo wa fernandinho kukata umeme umepungua pale kati maana angekuwa rodri dimbani angezima kabisa ile mianya ya kina madson ila sio mbaya point tatu mfukon kwa city na kengine ni kuwa leicester huwa wanatukazia wakija etihad refer ile 1-5 msimu uliopita!
Huyu kijana angejituma vyema angeweza kuziba pengo la sane tena kipindi yeye anasajiliwa foden alikuw hana makali kama aliyonayo sahivi maana huyu dogo ni natural winger ila ikamlazimu pep amchezeshe kama striker maan hawez kumnyanganya shavu foden au mahrez, kwa nafasi hiyo nayo ikawa ngumu maan majeruhi yalimwandam sana na ata baada ya kurudi kwa city ya sasa kaangalia mwenyewe akaona hatotoboa...NAMTAKIA MAFANIKIO MEMA HUKO BARCA.Ferran kashatua Barcelona ,hizi £62m inatakiwa tumtafute halland popote alipo tumpate ....View attachment 2059396
Ferran tulimchukua kwa £20.9m kumuuzia hio Bei ni faida ...Huyu kijana angejituma vyema angeweza kuziba pengo la sane tena kipindi yeye anasajiliwa foden alikuw hana makali kama aliyonayo sahivi maana huyu dogo ni natural winger ila ikamlazimu pep amchezeshe kama striker maan hawez kumnyanganya shavu foden au mahrez, kwa nafasi hiyo nayo ikawa ngumu maan majeruhi yalimwandam sana na ata baada ya kurudi kwa city ya sasa kaangalia mwenyewe akaona hatotoboa...NAMTAKIA MAFANIKIO MEMA HUKO BARCA.
Kuhusu suala la halland itabidi board ya city ipasuke kuongezea kidogo iyo value ila sio kwa hiyo pesa wanayotoa barca maana wamekubaliana na barca mamewaomba city watalipa kwa awamu 4 na sio kwa mkupuo....BARCA IMECHOKA SANA KIFEDHA HADI UWANJANI,
Kijana alikuwa anafurahi na wadogo zake kwenye hii christmass at home.
View attachment 2059452
Ferran tulimchukua kwa £20.9m kumuuzia hio Bei ni faida ...
Pep anamkubali Sana Kane ,sijajua kuhusu halland kwa upande wake inakuaje ,ila Kuna sehemu niliona mansour anamtaka halland ...
Ngonja tuone hii January itakuaje ,kucheza bila natural striker kwenye uefa sijajua itatufikisha wapi hapo pep anajiamini kwenye tactics bila striker ...
Daaaa zile goli tatu zilikuwa zimetutoa mwenye reli kabisa . .... Laporte asingeturudisha kwenye mchezo basi pressure ingekuwa kubwa na tungepata draw ..!Iheanacho alitaka kutuoneaha kitu jana ili tujutie kumuuza.
Kibaya 'Nacho kahusika kwenye goli zote 3. Mwenyewe nilishaanza kushtuka. Yaani jamaa wakikamata mpira walikuwa wanachomoka ghafla mara hao wamefika golini...Daaaa zile goli tatu zilikuwa zimetutoa mwenye reli kabisa . .... Laporte asingeturudisha kwenye mchezo basi pressure ingekuwa kubwa na tungepata draw ..!