The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hakika kwa interval hii game ijayo tunacheza pasipo pressure kabisa hii ndo raha ya kuwa juu mawinguni.
 
Game inayofuata ni arsenal then nawaombea Liverpool na noise maker watoke suluhu ili tuzid kujichmbia kilelen
 
Ukishabikia Man City Raha sana.
Katika miaka kumi iliyopita labda tumelia mara moja tu epl

Wengine kila mwaka ni vilio tu
Ni mwendo wa WIN+++, Tunafunga mwaka na10 consucative win in a row....Hatariii sanaa acha Pep aitwe Guardiola, HOPE NEW YEAR W'LL BE NICE THAN EVER CONGLATULATION TO ALL OF US....#ProudlyToBeCITYFAN!!!

 
premier league wanakwambia a #COLOSSAL PERFOMANCE on last night by CITY!!!...as we're heading to next year toping the League like Clouds on the sky.




 
This CITY TEAM has showed a TOTAL COMBINATION OF COMPLETE DOMINANCY AND INDIVIDUAL BRILLIANCE!!!....On last Nighty.

 
As Usually #MasterFullyClass showed by #KingKEVIN gifted Us a PureClass Performance And was Named a MAN OF THE MATCH For the last night clash.

 
Nachompendea huyu jamaa hua havimbi licha ya kuwa ni topClassCoach mwenye high profile kwasasa Na anakwambia bado kuna point 54 za kutafuta hivyo...tumeshinda jana lakini bado haamini katika ubingwa...ila angekuwa bwana tuchelewe apo angetoa maneno ya umwamba sana asee.

#THE_BOSS_GUARDIOLA!!!
 
Angekuwa mzee wa pressing ,angetangaza ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Game inayofuata ni arsenal then nawaombea Liverpool na noise maker watoke suluhu ili tuzid kujichmbia kilelen
hao arsenal vile wanaona wamechangamka against a mid-table opponents ndo wanahisi watamtuliza city etiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, kiuhalisia ukishakua timu ya kufunguka na kucheza open play kama arsenal lazima PEP akubonde tu, It's much Obviuosly...Let's Wait and See It's just a matter Of how Many.

NEXT IS GUNNERZ in their Own Pitch!!!

 
Angekuwa mzee wa pressing ,angetangaza ubingwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mwisho wa siku Kawabadilikia ameamua kusema ukweli na kuwaambia tu kuwa ubingwa wasahau!!!...maana TIMU YAO ISHAKATA MOTO YAYARI.

 
Naona Pep amewaonya vijana juu ya #ARSENANE, Huyu jamaa bana huwa anakupa kichwa mpizani wake ili uvimbe alafu mwisho wa siku ANAKUPASUA VIBAYA.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…