Nashangaa wanaombeza grealish ,Mimi sioni kabisa kama jack kaflop ....takwimu hazidanganyi tuna playerz watano kwenye top 10 ya epl-creators wenye jumla ya CHANCE - 144 totals.
View attachment 2062898
Aiseee hio graphy hapo juu inatakiwa kuenda mpaka may [emoji28][emoji28][emoji28]Daah!...WAO WALIANZA JUU SISI TULIKUWA CHINI LAKINI MWISHO WA SIKU WAO NDO WAPO CHINI YETU!!!....Graph hazidanganyi.
#DangerousCITYRUN!!!
View attachment 2062894
Hii tunaita mind game ...Naona Pep amewaonya vijana juu ya #ARSENANE, Huyu jamaa bana huwa anakupa kichwa mpizani wake ili uvimbe alafu mwisho wa siku ANAKUPASUA VIBAYA.
View attachment 2062891
Tena kwa msimu huu mateso yao ni makubwa wanazidi kupoteanaUkishabikia Man City Raha sana.
Katika miaka kumi iliyopita labda tumelia mara moja tu epl
Wengine kila mwaka ni vilio tu
Huyu jamaa anamiss some team work brilliance ila atafit vyema na atakuwa vizur tu soon tena before the end of this season.Nashangaa wanaombeza grealish ,Mimi sioni kabisa kama jack kaflop ....
Mfumo wetu ni kucheza as a team ndioo maana watu wanalinganisha jack wa villa na city ...
hapo uhakika mkuu ngoja tusubir #supersunday ijayo wapunguzane kwanza liver na chelsea.Aiseee hio graphy hapo juu inatakiwa kuenda mpaka may [emoji28][emoji28][emoji28]
arsenal atapata tabu tena na vile mahrez, sterling, Gundo hawakucheza jana + rodri atakuwa amerudi, pia walker ameshaanza mazoezi kwa ajili ya EMIRATE SHOWPIECE!Hii tunaita mind game ...
Pep siku zote anakupa respect ,huku akiwa ameficha mbinu namna ya kukumaliza ....
Siku zote anaanzaga kwa kumsifia arteta ,badae kinachotokea uwanjan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ni kuchukua point 3 na kuondoka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hawa ni fans wa united kabisa ,zile cross za cancelo zinawatafuna Hadi kwenye mapafu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Dah!...bad news kuna kikundi cha watu wasiojulikana kilimvamia CANCELO nyumbani kwake Usiku wa kuamkia juzi na kumpora vito vyake vyote vya thamani ila familia yake iko salama yeye amepata mkwaruzo kidogo usoni lakini yeye ameomba awe sehemu ya kikosi kitakachomvaa arsenane na yupo fit kucheza na pep akamruhusu hivyo amesafiri na timu pia kwenda emirates...city ipo pamoja na family yake wa kimsupport na kwa ushirikiano wa polisi uchunguzi unaendelea ILA KATIKA MJI ULE WA GREATER MANCHESTER INAVYOSEMEKANA HAO NI UNITED FANS MAANA HISTORY KUBWA INAANDIKWA NA CITY KATIKA JIJI LA MANCHESTER NA WAO WAKIWA NA HALI MBAYA KISOKA.
View attachment 2064590
View attachment 2064591
Hawa ni fans wa united kabisa ,zile cross za cancelo zinawatafuna Hadi kwenye mapafu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji]
HAWA HAWACHOMOKI...VERY KNOWN!!!...Big game for this saturday!Leo arsenal anafikili labda Kuna miujiza itatokea ,Leo anakula Goli za kutosha ...3point ni mhimu leo