The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Daah!...WAO WALIANZA JUU SISI TULIKUWA CHINI LAKINI MWISHO WA SIKU WAO NDO WAPO CHINI YETU!!!....Graph hazidanganyi.

#DangerousCITYRUN!!!

FireShot Capture 154 - Premier League title race_ How Liverpool, Man City and Chelsea stand _ ...png
 
takwimu hazidanganyi tuna playerz watano kwenye top 10 ya epl-creators wenye jumla ya CHANCE - 144 totals.
FireShot Capture 153 - Premier League title race_ How Liverpool, Man City and Chelsea stand _ ...png
 
Naona Pep amewaonya vijana juu ya #ARSENANE, Huyu jamaa bana huwa anakupa kichwa mpizani wake ili uvimbe alafu mwisho wa siku ANAKUPASUA VIBAYA.

View attachment 2062891
Hii tunaita mind game ...

Pep siku zote anakupa respect ,huku akiwa ameficha mbinu namna ya kukumaliza ....

Siku zote anaanzaga kwa kumsifia arteta ,badae kinachotokea uwanjan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ni kuchukua point 3 na kuondoka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nashangaa wanaombeza grealish ,Mimi sioni kabisa kama jack kaflop ....

Mfumo wetu ni kucheza as a team ndioo maana watu wanalinganisha jack wa villa na city ...
Huyu jamaa anamiss some team work brilliance ila atafit vyema na atakuwa vizur tu soon tena before the end of this season.
 
Hii tunaita mind game ...

Pep siku zote anakupa respect ,huku akiwa ameficha mbinu namna ya kukumaliza ....

Siku zote anaanzaga kwa kumsifia arteta ,badae kinachotokea uwanjan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]ni kuchukua point 3 na kuondoka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
arsenal atapata tabu tena na vile mahrez, sterling, Gundo hawakucheza jana + rodri atakuwa amerudi, pia walker ameshaanza mazoezi kwa ajili ya EMIRATE SHOWPIECE!

507d446e-0823-4e72-b609-6c1657091c73.jpg
 
#HAPPY_NEW_YEAR 2022 🥳🥳🥳🥳🥳 TO ALL OF YOU #CIYTIZENS_#SKYBLUES_#BLUEMOONS....."WISHING CITY ALOT OF SUCCESS IN THE REMAINING SEASONS!!!"
 
Dah!...bad news kuna kikundi cha watu wasiojulikana kilimvamia CANCELO nyumbani kwake Usiku wa kuamkia juzi na kumpora vito vyake vyote vya thamani ila familia yake iko salama yeye amepata mkwaruzo kidogo usoni lakini yeye ameomba awe sehemu ya kikosi kitakachomvaa arsenane na yupo fit kucheza na pep akamruhusu hivyo amesafiri na timu pia kwenda emirates...city ipo pamoja na family yake wa kimsupport na kwa ushirikiano wa polisi uchunguzi unaendelea ILA KATIKA MJI ULE WA GREATER MANCHESTER INAVYOSEMEKANA HAO NI UNITED FANS MAANA HISTORY KUBWA INAANDIKWA NA CITY KATIKA JIJI LA MANCHESTER NA WAO WAKIWA NA HALI MBAYA KISOKA.

2d0d50da-792f-4e52-a158-c98a4fde2508.jpg

FireShot Capture 173 - Man City star Joao Cancelo available to face Arsenal just TWO days af_ ...png
 
hizi ni baadhi ya record chache zilizowekwa na city ya pep katika kipindi cha nusu msimu kilichomalizika 2021,

FireShot Capture 180 - All the records broken by Man City in 2021 - Manchester Evening News_ -...png

60f3b7d7-2411-4dd8-882d-5c37c017475c.jpg
 
Our #CITYStarBOY named king of the match followed by his single goal to earn city 3-points in our last encounter against brentford in london.

7f6b8aad-e7b5-4c2e-915e-5866f072cc25.jpg

f4f3520c-ed60-4fc0-b00e-03476bca4e46.jpg
 
Dah!...bad news kuna kikundi cha watu wasiojulikana kilimvamia CANCELO nyumbani kwake Usiku wa kuamkia juzi na kumpora vito vyake vyote vya thamani ila familia yake iko salama yeye amepata mkwaruzo kidogo usoni lakini yeye ameomba awe sehemu ya kikosi kitakachomvaa arsenane na yupo fit kucheza na pep akamruhusu hivyo amesafiri na timu pia kwenda emirates...city ipo pamoja na family yake wa kimsupport na kwa ushirikiano wa polisi uchunguzi unaendelea ILA KATIKA MJI ULE WA GREATER MANCHESTER INAVYOSEMEKANA HAO NI UNITED FANS MAANA HISTORY KUBWA INAANDIKWA NA CITY KATIKA JIJI LA MANCHESTER NA WAO WAKIWA NA HALI MBAYA KISOKA.

View attachment 2064590
View attachment 2064591
Hawa ni fans wa united kabisa ,zile cross za cancelo zinawatafuna Hadi kwenye mapafu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Leo arsenal anafikili labda Kuna miujiza itatokea ,Leo anakula Goli za kutosha ...3point ni mhimu leo
 
Hawa ni fans wa united kabisa ,zile cross za cancelo zinawatafuna Hadi kwenye mapafu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji]
Nasema hao ni united fans maana "TOKEA MAJUZI JAMAA WAMEANZISHA VURUGU ZA BUS TOURS KWENYE MJI WA MANCHESTER KUPITIA MITAA YA BOROUGH AND SALFORD ETI WANASHANGILIA ILE MECHI WALIYOSHINDA DHIDI YA BURNLEY"....​

FireShot Capture 179 - Four players missing from Man City training before Arsenal fixture pl_ ...png

But Let's hope kijana ataperform to HIS LEVEL BEST na asiathiriwe na tukio alofanyiwa!
1fdb07d7-6464-482b-8252-4a48353ae8e0.jpg
 
liver na chelsea wasijisahaulishe kuwa hadi kuelekea kwenye match day: 21, Msimamo upo hivi 9-points clear of liver and 8-clear of chelsea to the top...

86bf8c6c-541b-49e4-b312-6b84101945be.jpg
 
club imewatakia supporters wake wote HAPPY NEW YEAR!!!

d2ff5315-43d6-4fbb-a10a-9102f0993f98.jpg

As well as premier league posted us..."THEIR DEFENDING CHAMPIONSSS" and as the things stands it seems that they do believe in Us to make it again this season.
28f0ba3f-1778-4048-8f5c-1dcc19310959.jpg

Back
Top Bottom