The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

unachokisema ni kweli, NA PEP ALIGUSIA KWENYE POST-MATCH INTERVIEW MBALI NA KUKUBALI PIA ARSENAL WALIKUWA VIZURI ZAIDI YETU!!!

 
Come on city ....

Aisee first half tumechaza utumbo mkubwa ,....

Ake inabidi afanye mazoezi ya kutosha ,japo amaeokoa goli lile....ulikuwa uchochoro wa Saka....
Jamaa leo alituokoa japo alifanya makosa kiasi fulani, NAONA NDO ALIKUWA "MAN OF THE MATCH"

 
LEO ULIKUWA WAKATI MGUMU ILA KIKUBWA POINT-3 KAPUNI, HADI THE BIG BOSS PEP ANASEMA CITY ILIKUWA NI BAHATI KUSHINDA MECHI YA LEO!!!

 
Pamoja na kukaza ila cha moto kimewapata huyo ndo Pep hutaki unaacha ,acha tuendelea kuwa juu mawinguni.
 
Naona Pep amewaonya vijana juu ya #ARSENANE, Huyu jamaa bana huwa anakupa kichwa mpizani wake ili uvimbe alafu mwisho wa siku ANAKUPASUA VIBAYA.

View attachment 2062891
Dah!...Kumbe pep alikuwa ameshaona alerting katika hii game ya leo.



na de jong alizungumzia ilo pia...lakini ata mimi nilivyocheki ile game yao dhidi ya WestHam nilihisi hii game ya leo itakuwa ngumu japo sikudhani kwa kiasi hiki.

 
Naona pep amegusia ishu ya corona pia nadhani ndiomaana ata ZINCHENKO LEO HAKUWEPO DUE TO COVID-ILLNESS, Chakushukuru hadi kufikia game ya chelsea tareh.15/JAN/....first team yote itakuwa imerecovery na hatutakuwa na fatigue.

 
Mara ya mwisho city kushinda katika dakika kama zile za rodri ilikuwa may-2013 dhidi ya southampton.

 
Hapa kinachofuata ni kumfunga Chelsea hakuna namna nyingine .....

The hard way ....the only way ...

Come on city
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…