The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hapa kinachofuata ni kumfunga Chelsea hakuna namna nyingine .....

The hard way ....the only way ...

Come on city
Eeeee.

We unadhani ni arsenali huyo?

Ngoja tukamsulubu Antonio Conte then tutakuja kukwangua hicho kipara.
 
Hii timu kweli aina mashabiki uzi unaenda mwezi ujachangiwa kitu wewe Pain killer acha kushinda kwenye page za watu page lenu linakufa huku.
 
Man city family tujizaNe bhAs transfers kwa huu mweZ jAnUaRy targets zetu ni zip enEo gan linahitajika kuongezewa m2 kiufuNd
 
Mkuu city siku zote tulikuwa tunakimbizana kutafuta striker ,baada ya deal la Kane kugoma naona kama pep kasusa kununua striker Tena ....

Kuna mahojiano alisema hii January hatalajii kuingia sokoni kutafuta striker ....
 
Team yetu ina viungo wengi ,na hawa ndio wananyumbulika kupata magoli ...

Kusema kweli tunahitaji pure striker aina ya Kane au halland japo pep Haoneshi uhitaji kabisa ..

Bila striker game ngumu za kuamua matokeo kama kwenye uefa tutakwama tu ..
 
Machezaji wetu wote wako fit kwa game ya kesho ,kwenye press pep hajatoa update ya injury ....

Tumekaaa muda mrefu bila kucheza ,natarajia wachezaji warudi na energy ,power ,kumaliza game mapema ya Chelsea ...

Binafsi Mimi naona game ya kesho tunamaliza mapema ,Chelsea tunamfunga .....
 
Sema pep mzee upara ana kwama sana me naona bado kwenye eneo la kiungo inabidii aongeze nguvu kiungo mkabajii mwingine afu kkubwa striker jamaa anazngua sana anii tunajua kabisa tunauhitajii afu anasusa VP akisema amaubilii haland timu vigogo zinamsubiriii sa ni kama Ku bet kocha anazngua sama kuna msimuuu alifanyaa HV HV tulikua hatuna. Bekii akakaushia kusajiLiii mpaka Liver wanabebA ndOo
 
Uzi huu Bwana yani pain killer unajiongelesha tu yani dah mpaka huruma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo Uzi mzima unaona comment yangu tu ,au macho yako hayaoni 😂😂😂😂😂
 
Sema pep mzee upara ana kwama sana me naona bado kwenye eneo la kiungo inabidii aongeze nguvu kiungo mkabajii mwingine afu kkubwa striker jamaa anazngua sana anii tunajua kabisa tunauhitajii afu anasusa VP akisema amaubilii haland timu vigogo zinamsubiriii sa ni kama Ku bet kocha anazngua sama kuna msimuuu alifanyaa HV HV tulikua hatuna. Bekii akakaushia kusajiLiii mpaka Liver wanabebA ndOo

Hahaa pep anajiamin kuhusu striker Kuna muda anahitaji Kuna muda anapuuzia ....

Viungo wanampa kiburi ,gundo ,bernado ,rodri ,frenandihno ,yaaani mfumo ndio unaamua matokeo ,KDB anaweza cheza kama false 9,au Jesus ,...

Kiufupi anaona kunauwezekano wa kuchukua PL bila striker ....

Kimbembe kipo CL ,yaani bila natural striker tutaendelea kuishia njiani.....
 
Njia salama ya Manchester city kupata point 3 au draw ni wao kutangulia kupata goli basi.
 
Watupe tu hilo kombe letu.
Msimu uliopita walitunyanyasa sana hawa. Malipo hapa hapa
 
Back
Top Bottom