Mkuu hii match ilinitisha sio kwaba chelsea walikuwa wanaupiga mwingi kuliko city hapana bali nilihisi itaisha droo maana nafasi nyingi sana zilikuw zibapotea kwa kina sterling na grealish...kiukwel striker anahitajika namim naon watu wakulenga ni wawili tu hapo Either HAALAND...ambaye tayari ameshaweka wazi msimamo wake kuwa hataki uhamisho kipindi hiki cha winter anataka iwe majira ya sammer na ukikonnect dots juu ya pep kutotak kusajil striker majira haya hadi june inamaan ishaeleweka dogo amezamiria kutua wapi.
View attachment 2083567
OR huyu dogo wa fiorentina DV9...nimemfuatilia ni mtu kwelikweli na uzuri hajademand pesa kubwa vyanzo vinasem anapatikan kwa £41m tu na ata mshahara wake sio mkubwa huyu ni aina ya wachezaji wanaowez pokea wage ata £150,000 per week kitu ambacho kwa haaland ni kigumu yule ni wa £300+ per week na jamaa ana balance ,control na physique maana ni mref kazidiw kidog sana na haaland hivyo hata goal za header atatusaidia sana ila tofauti yao ni kwamba haaland tayar ameshaprove yeye ni worth player kwenye BIG STAGES tofauti na huyo dogo...pua kiumri Eerling ana 21yrs huyo dogo ana 23yrs at this moment waachane na huyo kane maan maka huu anagonga 29 hivyo anaez ingia kweny mfumo wetu ila hatutodum nae kam aguero maana atakuw na misimu kama mitatu yakuchez kweny kiwang tofauti na hao wawili hapo. Kwa jinsi nilivyoangalia clip za huyo Dusan Vlahovch ni hatarr pia ni wapili kwa magoli kule italy naamini kabisa ataufaa sana tukimkosa haaland ukizingatia na vilabu vikubwa kama madrid vinammezea mate pia.
Huyu ndo DUSAN VILAHOVICH dogo fundi wa kufunga kiukweli...
View attachment 2083604
View attachment 2083606
View attachment 2083609
View attachment 2083612