The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity_mcfc-20220101-0001.jpg
 
Mimi kucheza vibaya Leo sion tatizo kabisa ,wachesaji walikuwa wamechoka kulinganisha na arsenal ...


Arsenal walikuwa wamepumzika siku nyingi Sana kutokana na case za covid but sisi tumetoka kucheza juzi na Brentford ,Bado siku mbili tunakuta na arsenal .....


Ndio maana wachezaji wetu walikuwa out of form ,uchovu ulikiwa mkubwa Sana ....

Kusema kweli arsenal walitutawala Sana first half with zero shot on Target [emoji53][emoji53]

Any way ,wacha tujipange next game .....
unachokisema ni kweli, NA PEP ALIGUSIA KWENYE POST-MATCH INTERVIEW MBALI NA KUKUBALI PIA ARSENAL WALIKUWA VIZURI ZAIDI YETU!!!

FireShot Capture 207 - Pep Guardiola admits Arsenal were 'better' despite Manchester City's _ ...png
 
Come on city ....

Aisee first half tumechaza utumbo mkubwa ,....

Ake inabidi afanye mazoezi ya kutosha ,japo amaeokoa goli lile....ulikuwa uchochoro wa Saka....
Jamaa leo alituokoa japo alifanya makosa kiasi fulani, NAONA NDO ALIKUWA "MAN OF THE MATCH"

fdaa8bdd-b5e9-4471-af22-cd826cc83e17.jpg
 
LEO ULIKUWA WAKATI MGUMU ILA KIKUBWA POINT-3 KAPUNI, HADI THE BIG BOSS PEP ANASEMA CITY ILIKUWA NI BAHATI KUSHINDA MECHI YA LEO!!!

FireShot Capture 186 - Guardiola admits Manchester City were fortunate to beat 'difficult' A_ ...png
 
Pamoja na kukaza ila cha moto kimewapata huyo ndo Pep hutaki unaacha ,acha tuendelea kuwa juu mawinguni.
 
Naona Pep amewaonya vijana juu ya #ARSENANE, Huyu jamaa bana huwa anakupa kichwa mpizani wake ili uvimbe alafu mwisho wa siku ANAKUPASUA VIBAYA.

View attachment 2062891
Dah!...Kumbe pep alikuwa ameshaona alerting katika hii game ya leo.

FireShot Capture 187 - Guardiola believes Man City are facing the 'best Arsenal' team since _ ...png


na de jong alizungumzia ilo pia...lakini ata mimi nilivyocheki ile game yao dhidi ya WestHam nilihisi hii game ya leo itakuwa ngumu japo sikudhani kwa kiasi hiki.

FireShot Capture 206 - Nigel de Jong sends warning to Man City ahead of crucial Arsenal clas_ ...png
 
Naona pep amegusia ishu ya corona pia nadhani ndiomaana ata ZINCHENKO LEO HAKUWEPO DUE TO COVID-ILLNESS, Chakushukuru hadi kufikia game ya chelsea tareh.15/JAN/....first team yote itakuwa imerecovery na hatutakuwa na fatigue.

FireShot Capture 195 - Pep Guardiola reveals Covid cases at Man City reduced squad to bare b_ ...png
 
Mara ya mwisho city kushinda katika dakika kama zile za rodri ilikuwa may-2013 dhidi ya southampton.

5e3d04a1-c9d3-4e8a-8eed-859738992c84.jpg
 
Hapa kinachofuata ni kumfunga Chelsea hakuna namna nyingine .....

The hard way ....the only way ...

Come on city
 
Back
Top Bottom