Eeeee.Hapa kinachofuata ni kumfunga Chelsea hakuna namna nyingine .....
The hard way ....the only way ...
Come on city
πππKitakachokupata utajua ujuiEeeee.
We unadhani ni arsenali huyo?
Ngoja tukamsulubu Antonio Conte then tutakuja kukwangua hicho kipara.
Mkuu sis tupo na mapumziko ya muda mfupi huku Dubai ...jumamos tupo uwanjan kuvunja zile kenge za blue ....Hii timu kweli aina mashabiki uzi unaenda mwezi ujachangiwa kitu wewe Pain killer acha kushinda kwenye page za watu page lenu linakufa huku.
Wapi wewe kijitimu huzi hata autembei nawewe kushinda kwenye page zetu tu kumbe una kimbia kujiongelesha huku.Mkuu sis tupo na mapumziko ya muda mfupi huku Dubai ...jumamos tupo uwanjan kuvunja zile kenge za blue ....
Uzi huu Bwana yani pain killer unajiongelesha tu yani dah mpaka huruma[emoji23][emoji23][emoji23]Machezaji wetu wote wako fit kwa game ya kesho ,kwenye press pep hajatoa update ya injury ....
Tumekaaa muda mrefu bila kucheza ,natarajia wachezaji warudi na energy ,power ,kumaliza game mapema ya Chelsea ...
Binafsi Mimi naona game ya kesho tunamaliza mapema ,Chelsea tunamfunga .....
Sema pep mzee upara ana kwama sana me naona bado kwenye eneo la kiungo inabidii aongeze nguvu kiungo mkabajii mwingine afu kkubwa striker jamaa anazngua sana anii tunajua kabisa tunauhitajii afu anasusa VP akisema amaubilii haland timu vigogo zinamsubiriii sa ni kama Ku bet kocha anazngua sama kuna msimuuu alifanyaa HV HV tulikua hatuna. Bekii akakaushia kusajiLiii mpaka Liver wanabebA ndOo