mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
City abari nyingine mkuu,hawana maneno Mengi ila vitendo ππ€£π€£Hii timu kweli aina mashabiki uzi unaenda mwezi ujachangiwa kitu wewe Pain killer acha kushinda kwenye page za watu page lenu linakufa huku.
Kimahesabu city tunanyua ndoo Msimu huu
Kumbe mpaka ashinde vipolo ,je vikichacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa gap ni point 13 bt kama liver atashinda kipolo chake basi gap litakuwa point 8
Wee jamaa unajitoa akili si bure, na usichokijua ni kwamba mshabiki wapo na hatuna presha...na hamna haja ya kupost hovyo hovyo kama nyie kwenye nyuzi zenu maana timu yetu sio mbovu kama zenu ivyo huwa sanasana tunapost MATCHDAYS TU...sio kam nyie kutwa comments kibao maana nikujadili vipigo na makosa ya wachezaji wenu daily sasa city hawan hizo mambo!Uzi huu Bwana yani pain killer unajiongelesha tu yani dah mpaka huruma[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kwem?...naona jan ze blauz wamepotean kama kawaida yao, nilipotea kidog maana natumiaga PC kuingilia JF imekuf HDD nimnunua smart ndo nimerud mitambon kama kawida.Kwa hiyo Uzi mzima unaona comment yangu tu ,au macho yako hayaoni πππππ
Mkuu hii match ilinitisha sio kwamba chelsea walikuwa wanaupiga mwingi kuliko city hapana bali nilihisi itaisha droo maana nafasi nyingi sana zilikuw zinapotea kwa kina sterling na grealish...kiukwel striker anahitajika namim naon watu wakulenga ni wawili tu hapo Either HAALAND...ambaye tayari ameshaweka wazi msimamo wake kuwa hataki uhamisho kipindi hiki cha winter anataka iwe majira ya sammer na ukiconnect dots juu ya pep kutotak kusajil striker majira haya hadi june inamaan ishaeleweka dogo amezamiria kutua wapi.Chelsea wakitangulia kupata goli basi mechi imeisha hii.
Mkuu kwenye kiungo hatuna sana huitaji maana rodri kafit vyem tu japo nilisoma source moja huko UK mahali kuwa mwezi june mwaka huu ferinandinho mkataba wake utaisha hivyo kuna mascout wa city wanamfuatilia kevin philips wa leed na endapo board itamwacha ndinho asepe huyo dogo atachukuliwa asaidiane na rodri pale dimbani pia itakuwa poa maana huyo dogo hana jina kubwa sana hadi asumbue kuja kutokea benchi pale city.Sema pep mzee upara ana kwama sana me naona bado kwenye eneo la kiungo inabidii aongeze nguvu kiungo mkabajii mwingine afu kkubwa striker jamaa anazngua sana anii tunajua kabisa tunauhitajii afu anasusa VP akisema amaubilii haland timu vigogo zinamsubiriii sa ni kama Ku bet kocha anazngua sama kuna msimuuu alifanyaa HV HV tulikua hatuna. Bekii akakaushia kusajiLiii mpaka Liver wanabebA ndOo
Mwisho wa siku mumekubali wenyew wazee wa darajani kwamba Pep ndio njia ya kweli na uzima kuelekea kwenye ubingwa wa Epl...maana mechi ya kwanza mlikosa shoot on-target ata moja kwa dakik 90 na hii ya maruduiano mumepata on-target 1 na corner 1 tu, polen sana fan boys wa darajan...Yaani huyu Pep kwake EPL ni ligi ya kawaida.
City hatari ndugu data hazidanganyi...ona Oracle Cloud wanasemaje hapo.City abari nyingine mkuu,hawana maneno Mengi ila vitendo ππ€£π€£
Naon wamempa hadi man of the match....hatari sana huyo kiumbe!!!Goli la KDB unaweza kuombea mkopo ....
Hata hivo Chelsea tumewazidi kila kitu ,yaani ilikuwa swala la muda tu kufunga goli ...
Nafasi ya grealish ilikuwa goli lile...
Mpaka 1HT Chelsea hawana shots on Target ,corner ,Wala chance created ...
.
Tumerudi kipindi cha pili na nguvu ile ile ...3 point mhimu ...
Sioni Tena game ya kututisha aisee ...Bado Liverpool aje etihadi ...