Mbaya zaidi kama huyo leeds wanakuj kukutana nae akiwa na ulazim wa point 3 ili atoke kule chini kwa hivyo haitakuwa rahis kwa liverkuku kama wanavyodhani wao.Kumbe mpaka ashinde vipolo ,je vikichacha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza Liverpool hayupo kwenye form kabisa ,sioni akitutisha...Mbaya zaidi kama huyo leeds wanakuj kukutana nae akiwa na ulazim wa point 3 ili atoke kule chini kwa hivyo haitakuwa rahis kwa liverkuku kama wanavyodhani wao.
Dusan ,Chelsea wamekuwa wakimfukuzia ,but ni rumors tu sijui Kama wanaweza kumsajili ....Mkuu hii match ilinitisha sio kwaba chelsea walikuwa wanaupiga mwingi kuliko city hapana bali nilihisi itaisha droo maana nafasi nyingi sana zilikuw zibapotea kwa kina sterling na grealish...kiukwel striker anahitajika namim naon watu wakulenga ni wawili tu hapo Either HAALAND...ambaye tayari ameshaweka wazi msimamo wake kuwa hataki uhamisho kipindi hiki cha winter anataka iwe majira ya sammer na ukikonnect dots juu ya pep kutotak kusajil striker majira haya hadi june inamaan ishaeleweka dogo amezamiria kutua wapi.
View attachment 2083567
OR huyu dogo wa fiorentina DV9...nimemfuatilia ni mtu kwelikweli na uzuri hajademand pesa kubwa vyanzo vinasem anapatikan kwa £41m tu na ata mshahara wake sio mkubwa huyu ni aina ya wachezaji wanaowez pokea wage ata £150,000 per week kitu ambacho kwa haaland ni kigumu yule ni wa £300+ per week na jamaa ana balance ,control na physique maana ni mref kazidiw kidog sana na haaland hivyo hata goal za header atatusaidia sana ila tofauti yao ni kwamba haaland tayar ameshaprove yeye ni worth player kwenye BIG STAGES tofauti na huyo dogo...pua kiumri Eerling ana 21yrs huyo dogo ana 23yrs at this moment waachane na huyo kane maan maka huu anagonga 29 hivyo anaez ingia kweny mfumo wetu ila hatutodum nae kam aguero maana atakuw na misimu kama mitatu yakuchez kweny kiwang tofauti na hao wawili hapo. Kwa jinsi nilivyoangalia clip za huyo Dusan Vlahovch ni hatarr pia ni wapili kwa magoli kule italy naamini kabisa ataufaa sana tukimkosa haaland ukizingatia na vilabu vikubwa kama madrid vinammezea mate pia.
Huyu ndo DUSAN VILAHOVICH dogo fundi wa kufunga kiukweli...
View attachment 2083604
View attachment 2083606
View attachment 2083609
View attachment 2083612
Yani hapo city inabid tufany maamuz mapem ikiwezekan ni kufikia agreements ya terms mapema na club husika na kulip ata nusu ya fedha mapema ibaki tu mwisho wa msimu kumsubir dogo atue na tukijua kabis tumeshamalizan nae. Inawezekan chelsea wakamuhitaji maan lile Lukazigo kule mbele ni empty bin kabisa na wanawez kushawishika kumsajil maan pesa ni ndogo inayotakiw na fiorentina...namim naona kama board haitakuwa tayari kuspend pesa nyingi katika usajil ujao ni vyem wakamchukua huyo dogo kuliko haaland maana ata mshahara wa haaland utakuw mkubwa kulinganisha na huyu dogo.Dusan ,Chelsea wamekuwa wakimfukuzia ,but ni rumors tu sijui Kama wanaweza kumsajili ....
Hao washakata moto tayari na kiukweli mkuu ningefurah kama nasis tungemfanya Guardiola kama Fergie wetu na aingie katika history ya city kama coach wetu bora wa muda wote...maan babu aliwap united mataji.13 ya Epl pale manchester...walau pep atupe jumla epl.7 na uefa ata.1 yani inabidi sheikh mansouri ampe wage anayotak yule jamaa asifikirie kuondok kwasasa kabisa.Kwanza Liverpool hayupo kwenye form kabisa ,sioni akitutisha...
Kweli Bwana, sasahivi kumpata Coch Kama Pep akiondoka sio nchezo,makocha wote pale epl wanaomba ondoke angalau wapumue, maana kahalibu Cv za watu wengi paleHao washakata moto tayari na kiukweli mkuu ningefurah kama nasis tungemfanya Guardiola kama Fergie wetu na aingie katika history ya city kama coach wetu bora wa muda wote...maan babu aliwap united mataji.13 ya Epl pale manchester...walau pep atupe jumla epl.7 na uefa ata.1 yani inabidi sheikh mansouri ampe wage anayotak yule jamaa asifikirie kuondok kwasasa kabisa.
Watu wengi walivyotarajia kwamba kwa kuwa EPL ni ngumu jamaa atafeli lakini wanachokiona hawaamin machoni mwao....wamwache tu pep aitwe guardiola yule jamaa anajua.Kweli Bwana, sasahivi kumpata Coch Kama Pep akiondoka sio nchezo,makocha wote pale epl wanaomba ondoke angalau wapumue, maana kahalibu Cv za watu wengi pale
Wakimuita kocha uchwara anayebebwa na nyota za wachezaji kipindi yupo Barca na Bayern. Sasa huku City sijui ndio wanatengeua kauli ama!?.Mwisho wa siku mumekubali wenyew wazee wa darajani kwamba Pep ndio njia ya kweli na uzima kuelekea kwenye ubingwa wa Epl...maana mechi ya kwanza mlikosa shoot on-target ata moja kwa dakik 90 na hii ya maruduiano mumepata on-target 1 na corner 1 tu, polen sana fan boys wa darajan...
View attachment 2083640
Eeeh[emoji14] na man UTD ni title contender?Msijikaushe man utd tuko uwanjani tunatoa sharubati ya fotbol