The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa Southampton watalala Na viatu Leo sio kwa moto huu wanaopelekewa
 
League bado mbichi sana inavuja damu!
Nakupiga Itihad kama mtoto
Hauna team unashinda kwa ujanja ujanja tu
 
League bado mbichi sana inavuja damu!
Nakupiga Itihad kama mtoto
Hauna team unashinda kwa ujanja ujanja tu
Katika timu ambazo Mimi sijawahi kuwa na pressure nazo ni Liverpool ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata kama gap ni point 1 ,Mimi siwezi kumuogopa Liverpool kabisa
 
[emoji887] | Álvarez to Man City, here we go!

River Plate talented striker JuliΓ‘n Alvarez will join Man City on a permanent deal, here we go! [emoji1033]

[emoji294]️ Manchester City will pay €18.5m fee with add ons/taxes to River Plate for the Argentinian centre striker.

[emoji407] Álvarez will sign his contract until June 2027 as Man City are confident to complete all paperworks with player and River Plate this week.

[emoji215] JuliΓ‘n won’t join Man City first team right now in January but he’s expected to remain on loan at River Plate until June, as requested.

[emoji888] Manchester City consider JuliΓ‘n β€˜one for the future, a potential star’ - deal not gonna influence their plans to sign a top European striker in the summer as Guardiola wants.

[emoji724] Manchester United were offered the chance to sign Álvarez but they decided to turn down this deal and focus on other targets.

How do you see this deal for La AraΓ±a? [emoji887][emoji1033]

All the best, @juliaanalvarez! [emoji294]️

 

Kweli mmeishiwa aisee
Badala ya Haaland sasa ndio anakuja huyu trash akupe nn?
EPL ni ya Liverpool hauna team msimu huu
 
Kweli mmeishiwa aisee
Badala ya Haaland sasa ndio anakuja huyu trash akupe nn?
EPL ni ya Liverpool hauna team msimu huu
Mfuatilie uone anavotupia magoli aisee,ni aguero mwingine huyo ....keep watching
 
Mfuatilie uone anavotupia magoli aisee,ni aguero mwingine huyo ....keep watching
Mkuu vip?...kiukweli nafahamu kuwa epl ngum lakin kwa display tuliyoionesha kwa saints last time out nahisi kuna balaa linanukia ile mechi ilibidi tushinde na sio droo maan bado hatujakutan na liver ambao tunakimbizana nao, spurz ambao walitup shida at the start of the season pia tunawafuata westham, wolves na palace wote wakiwa kwao ni moja ya timu tulizopata matokeo kwa mbinde na palace alitupiga....kwa jinsi navyoijua EPL shughuli bado ngumu pale...kama hutoamini subiri tuone, yani sterling alikosa chance za wazi versus saints hadi inasikitisha kiukweli yule jamaa atatucost maana ata zile point 2 tulizodondosha kwa saints tutazikumbuka ndugu!
 
Mfuatilie uone anavotupia magoli aisee,ni aguero mwingine huyo ....keep watching
Huyo bwana mdogo mzuri atatusaidia japo sitarajii kuwa atatuserve kama direct replacement for KUN...maana inabad apewe muda wa kuadopt with European football kumbuka ata aguero mwenyew hatukumtoa direct argentina natulimpatia atletico madrid, na hata city wameamua kumuacha amaliz msimu hadi summer kisha watamchukua wampeleke kwenye moja ya sister club zetu zinazomilikiwa na CITY FOOTBALL GROUP/CFG amabazo ni either NEWYORK CITY FC(mabingwa wa USA msimu ulioisha), MELBOURNE CITY, MONTEVIDEO CITY(title. Contender kule uruguay), MOMBAI CITY(mabingwa wa india msimu uliopita), GIRONA NA LOMMEL SK.....hao wote ni ndugu zetu walitaka wampeleke iyo ya mwisho lommel sk ya ubelgiji kwa mkataba wa mwaka mmoja on loan ili apate kuadopt na european football kwanza alafu ndo aje kundini kule etihad ila taratibu za usajili zingechelewa na huenda dirisha lingewahi kufungwa kabla hajakamilisha usajili kamili wakuchez kule ubelgiji hivyo wakaamua wamuache kulekule amalizie msimu.
 
Lakini uzuri pep na vijana wenyewe wanalitambua hili ngoja tuone wata react vip wakirejea uwanjani...na mimi naona kutuliza tempo inabidi game inayofuata tuanze kwa kushinda pia tusikubali ata draw.


 
Bwana debruyne anashikilia record ya kuwa no.7 kwa wachezaji bora wa muda wote wanaoongoza kwa assist na kutengeneza nafasi pale epl...IKUMBUKWE HAO 6 WALIOMTANGULIA WOTE HAWAPO ACTIVE TENA KWENYE MPIRA.


Historia kutokea pale manchester ni ilimchukua David bekham michezo 262 kupata assists 80 huku De Bruyne akipata assists hizo hizo katika michezo 194 tu..πŸ”₯πŸ’₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

 
Inasemekana city bado wanahitaji kuingia sokoni kwaajili ya complete no.9 yule alvarez ni uwekezaji uliofanywa na city football group...ambapo inatazamiwa aje aweze kuingia katika mfumo hapo baadae, sasa kama ndo ivyo kwanini tumeweza kumwacha Dusan aende juve?...kwangu mie huyu angefaa kuliko halaand ambaye labda wanampango nae next sammer maana transfer fee ingekuw ndogo na ata wages pia.



 
Vilabu vingi vya EPL vimefanya makosa kumwacha huyu jamaa alivyokuwa pale fiorentina...HAYO NI MAONI YANGU KWA NILIVYOMUONA MECHI ALIZOCHEZA AKIWA FIORENTINA.





 
Vijana sahivi wanamalizia goodtimes then warejee tena uwanjani kutoa #BURUDANI.

 
Kungekuw na striker wa maana pale city hizo wood hits 13 zingewez kupatikana ata goli 6 apo.

 
Man utd bana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kila wakijaribu kuwa na furaha ..wanaishia kipigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…