The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

De bruyne sasa...yuko meza moja na legendary midfilders bora kuwahi kutokea EPL hapa tunazungumzia Gerrard, lampard na scholes...


 
Comments za fans mbalimbali wa city baada ya kushusha kipigo cha mbwa koko jana kwa mashetani uchwara...


 
Namba hazidanganyi....

"SUPER CITY...SUPER CITY IS WHAT THE FANS WERE SINGING YESTERDAY!!!" Na wakaacha kifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea uwanjani kwa kuwageuzia migongo wachezaji wa uwanjani...that was absolute beautiful Scenes at etihad!



But Pep aliwaambia wachezaji kabla ya game kuwa...CITY FANS WILL GIVE THEIR ALL FOR THEM IF THEY WOULD PERFORM BEST...NA HILO LILIONEKANA WAZI AFTER A SUPER PERFORMNCE LAST NIGHT FROM THE CITY BOYS!!!

 
De bruyne showed a MASTERCLASS AS USUALLY AS HE WAS NAMED MAN OF THE MATCH LAST NIGHTLY!

 
Yesterday City showed FULL DOMINANCY CHARACTER OVER THEIR CITY RIVALS UNITED!!!



 
Insane performance ever to happen in MANCHESTER DERBY...in a lastly 15mins!

 
Skysport wanasema CITY ON A DIFFERENT LEVEL, MANCHESTER IS 💙💙💙💙

 
Kipara akili mingi sana...yani timu haina striker lakini ni yatatu kufunga magoli mengi huko EUROPE!!!

 
Next crystal palace...wale inatakiwa tuwaoneshe kuwa walitubahatisha ....tuwapige goli za kutosha
 
Next crystal palace...wale inatakiwa tuwaoneshe kuwa walitubahatisha ....tuwapige goli za kutosha
Kwa ule mpira uliopigwa jana...ata hao palace sioni watatokea wapi, yani nlifikiri united wangetuchallenge lakini walikuwa hovyo kiasi kwamba city ni kama walikuwa wanafanya mazoezi vile kwenye pichi yao wenyewe.
 
Huyu sisi tulimfunga 5-0 kwake lkn nyie kumfunga kiwete 4-1 ndiyo hadithi inakua?
Nakupiga April 9 na nakimbia na kombe
 
Kwa ule mpira uliopigwa jana...ata hao palace sioni watatokea wapi, yani nlifikiri united wangetuchallenge lakini walikuwa hovyo kiasi kwamba city ni kama walikuwa wanafanya mazoezi vile kwenye pichi yao wenyewe.

Hawa walipigwa 5-0 na Liverpool tena kwake,Man U ndiyo metric yako kama upo sawa?
 
Hawa walipigwa 5-0 na Liverpool tena kwake,Man U ndiyo metric yako kama upo sawa?
Hiyo ni kawaida mbona nyie Leeds mlimpiga 6...ila City alimpiga 7, mkuu mpira ulivyo wa ajabu huyo united atakukazia mbaya pale Anfield road hutoamini ndugu...pia ata yule everton hatakuacha salama based na hali aliyopo sasahivi ili kuavoid relegation hatokubali kipigo kutoka kwako na ukumbuke ile droo ya everton msimu wa 2018/2019 ndo alikunyima ubingwa ulitrail by 1-point behind city hadi mwisho ndo kitakachokukuta msimu huu pia...najua mko fire ndio lakini kati ya hao wawili kuna sehemu utadrop tu points...believe it!
 
Huwezi mfunga CP
Huwezi kabisa
Zaha. Olise. Eze
Hutoki
Kwanza chukua hii mzee...

Ukweli ni kuwa Mtaposses mpira kwa timu ambazo ni underdog tu...lakini hamuwezi fika level za GUARDIOLA!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…