The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City wamekubaliana na kambi ya halaand kwa £100m/$130m in total pamoja na agent fee....muda wowote paperworks zikishakuwa tayar ili deal litawekwa official

 
The chances we’re missing[emoji2365] and errors we commit [emoji19] cjui
 
We fala Pain killer subuiria siku tukicheza na Liverpool uombe kama wenzio walivyoomba tushinde hatutawaangusha. [emoji23]
 
Niliwaambia wkt mna ongoza points 14 sisi tumecheza mechi 2 pungufu kuwa Liva ndiyo mabingwa wa EPL,mkanicheka sana!
Sred yangu niliyo andika hivyo ipo humu!!
Nawaambia tena April 10 nakunyuka kwako na hunikuti tena sababu ww huwezi mfunga NC,Westham wala Villa

Team huna
 
Mambo vip kinabo ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kachukue epl ile pale mavi kunuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Any way tumecheza vzuri walahi ,sema tu hatukuwa na bahati ....!

Kucheza kupi?
Mmetoa mipira kwa Mateta na Zaha mara nne kwa beki yako kujichanganya ndiyo ucheze na Liverpool vile?
Nakupiga April 10 kama mtoto
 
4 point clear top of the table ....


Kabla hujaja kukomment hakikisha unanizidi point ....!

Kama wewe ni mwanume tufuate pale juu
 
Mambo vip kinabo ....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kachukue epl ile pale mavi kunuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Utaandika kwa hasira na matusi lkn mwaka huu huchukui lolote
Jumamosi Southampton anakupiga FA
 
Kucheza kupi?
Mmetoa mipira kwa Mateta na Zaha mara nne kwa beki yako kujichanganya ndiyo ucheze na Liverpool vile?
Nakupiga April 10 kama mtoto
Sawa ...

Game na Liverpool mtatufunga goli nyingi ...

FT

Man city 0-20 Liverpool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…