Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Okay arsenal hawezi chukua point kwako mzee ...Just 1 point sir!
Arsenal hawezi nizuia nisichukue EPL
FT
Liverpool 10 - 0 arsenal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay arsenal hawezi chukua point kwako mzee ...Just 1 point sir!
Arsenal hawezi nizuia nisichukue EPL
Okay arsenal hawezi chukua point kwako mzee ...
FT
Liverpool 10 - 0 arsenal
Bado nina imani kuwa City tutakuwa mabingwa...but hi ni moja ya sababu pep alisema ni lazima SUMMER TUSAJILI STRIKER MAANA KUNA BAADHI YA MECHI CITY ISIPOSHINDA FANS WANALALAMIKA KUWA STRIKER ANAHITAJIKA...NA MOJA YA MECHI PEP ALIYOKIRI HILI NI MECHI DHIDI YA SAINTS ZOTE ZA HOME NA AWAY, Hivyo hivyo ata kwa jana pia kiukweli Striker anahitajika ngoja tuone issue ya halaand itakuaje.The chances we’re missing[emoji2365] and errors we commit [emoji19] cjui
Hii game ni mhimu sana kwetu yatupasa kushinda usiku wa leo.
Sasa mkuu unavyojihakikishia huo ubingwa eti "Liva ndiyo Mabingwa"...angalia usije kupoteana kwa game zilizobaki bado huwezi shinda zote ujue.Niliwaambia wkt mna ongoza points 14 sisi tumecheza mechi 2 pungufu kuwa Liva ndiyo mabingwa wa EPL,mkanicheka sana!
Sred yangu niliyo andika hivyo ipo humu!!
Nawaambia tena April 10 nakunyuka kwako na hunikuti tena sababu ww huwezi mfunga NC,Westham wala Villa
Team huna
Ya kweli haya?, upo emirate ujue...nasisi kwetu ata draw inatutosha sio hadi mliwe mzee.Just 1 point sir!
Arsenal hawezi nizuia nisichukue EPL
Mkuu achana. Nao hao ata club ranking europe across all competition this season...CITY BABALAO!4 point clear top of the table ....
Kabla hujaja kukomment hakikisha unanizidi point ....!
Kama wewe ni mwanume tufuate pale juu
Man city hawezi kuchukua UCL.Pep akitoka kapa mwaka huu bila uefa lazima ajiuzuru kama alivyo fanya Bayern.
Hapo ndo utajua kombe lipi ni better kati ya Epl na UCL
Acha Ramli chonganishi we mshamba.Hii inaonesha kuwa arsenal anatoa draw na Liverpool ....! Keep watching
Kuna post FABRIZIO ROMANO ameipost leo juu ya maamuzi ya rais wa madrid bwana perez kumpa mkataba mpa vini. Jr na namna walivyojipanga kumchukua mbappe on upcoming summer move huku madrid wakiwa wanamonitor kujua next club for hallaand!
View attachment 2152360
Nilichogundua huyu dogo alikuwa hakiitaji kwenda madrid lakini kwa hali ya kiuchumi imewawia mgumu real kuweza kuwasajili wote wawili kwa msimu mmoja lakini anauhakika kuwa madrid watakuja kumsajili tu ata msimu ujao. Sasa kutokana na hiyo situation moja ya kitu ambacho huyu dogo anahitaji kuwepo kwenye framework ya mkataba wake pale etihadi endapo financial agreement itaafikiwa ni KUWA ANATAKA AWEKEWE KIFUNGU CHA RELEASE CLAUSE kama alivyowekewa pale dortmund ile release ya £63.5m na ndo ambayo city wanataka kuactivate icho kifungu ili wampate huyu dogo.
View attachment 2152361
Sasa hiyo maana yake ni kuwa dogo anataka kufanya pale city ni kama njia yani kilabu kama madrid ikimuhitaji mda wowote watatrigger tu hiyo release clause anayotaka iwekwe kwenye mkataba wake kisha anasepa...na hiyo yote inatokana na huyu dogo kuwa na usimamizi wa wakala mwenye tamaa bwana RAIOLA.
USHAURI: huyu dogo anaweza leta gumzo pale city huko mbeleni pia ikizingatiwa endapo atawekewa hiyo release clause anayotaka AKAANZA KUDAI MALIPO YA MSHAHARA KUONGEZEWA akiamini kwamba ni rahisi kutukimbia kama hatutafikia demand ya mshahara anayotaka kama ataendeleza moto wake wa ufungaji hivyo atakuja kutuweka kwenye wakati mgumu kutokana na aina ya wakala wake mwenye tamaa(anayemsimamia pogba wa united pia)...na itakuwa tatizo zaidi kipindi ambacho atakuwa kashaingia kwenye mfumo alafu aanze kusumbua anaweza leta instability kwenye timu.
HIVYO!: ni bora pep angeangalia uwezekano wa kumshawishi lewandowski ambaye mkataba wake unaisha pale bayern hapo juni na hajapewa mkataba mpya hadi sasa lengo likiwa ni kuwa na short term replacement katika nafasi ya striker uku akiwa anamchezesha New signing Julian Alvarez baadhi ya mechi za epl hadi apo atakapo adapt EPL football, lewandowiski tukimpa mkataba wa miaka 2 itatosha kutusaidia ukizingatia atakuwa ni freeAgent. Hii ndo njia rahisi ya kumsaidia julian alvarez kuja kuvaa viatu vya aguero vyema kama hatutamchukua huyo hallaand kuavoid hizo consequences zinazoweza jitokeza huko mbeleni.