Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
Buyern kweli watamuacha lewandowisky kama free agent ,kama kweli watamuacha free basi naamini vilabu vingi vitamtaka.,...!
Mkuu mfumo wa pep sidhani kama yupo tayari kuishi na natural striker ,Mimi naona media na fans ndio tunataka awe na natural striker lakin body language ya pep ni false 9 ....na pep always huwa haamini katika plan b yeye anaamini plan a ikifel ni kuboresha na sio kukimbilia plan b ,yeye ni kama kina Marcelo mpaka alitaka kuishusha Leeds united daraja kwani yeye haamini katika kubadili mbinu ...hivyo pep yeye anatafuta striker atakaye fit kucheza false 9 ....!
Pep anaamini katika talent na sio nguvu na form ya muda ,mtu kama gundogun ,bernado ,grealish aisee kwa haraka haraka kama unaakili ya kiwaki huwezi jua wanafanya Nini uwanjan na Mara nying takwimu haziwabebi lakin aisee hizo ni engine za city believe ...wanaosena grealish kaflop Mimi nawaona kama mamruki tu ....pep mwenyewe anakwambia kujua ubora wa mchezaji kwa kuangalia stats ni kuukosea mpira heshima ...!
Mkuu mie ilo dili la lewandowisk...likiwezekana kufanyika itakuwa poa maana tayari tunaye alvarez ambaye yupo vyema lakini anaweza akachelewa kuadapt english football huku tukiwa tunamtegemea lewandowski. KIUKWELI KABISA TUNAHITAJI STRIKER HAIJALISHI ATAPEWA ROLE GANI EITHER AWE GOAL POACHER OR AWEZE KUCHEZA KAMA FALSE 9.
Ukitaka kujua striker anahitajika ona matokeo ya mzunguko wa kwanza yanataka kujirudia AGAINST SAINTS, SOUTHAMPTON NA PALACE...shida kuna mfumo wa kudefend from deep timu ikikutana nao inakuwa tabu kupata one on one space zakufunga kwenye opposition box...katika mechi kama iyo Striker anaumuhimu sana.