The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The chances we’re missing[emoji2365] and errors we commit [emoji19] cjui
Bado nina imani kuwa City tutakuwa mabingwa...but hi ni moja ya sababu pep alisema ni lazima SUMMER TUSAJILI STRIKER MAANA KUNA BAADHI YA MECHI CITY ISIPOSHINDA FANS WANALALAMIKA KUWA STRIKER ANAHITAJIKA...NA MOJA YA MECHI PEP ALIYOKIRI HILI NI MECHI DHIDI YA SAINTS ZOTE ZA HOME NA AWAY, Hivyo hivyo ata kwa jana pia kiukweli Striker anahitajika ngoja tuone issue ya halaand itakuaje.
 
Hii game ni mhimu sana kwetu yatupasa kushinda usiku wa leo.

Mkuu game imeisha draw sio vyema ukizingatia tunahitaji kutetea EPL title...hatuna namna lakini nina imani bado ubingwa upo mikononi mwetu...kikubwa timu ishinde hizo mechi mbili hapo kati yani ya brighton na burnley kabla ya kukutana na hao liverkuku hiyo april 10.

Naona ata premier league wenyewe wanakiri kuwa tension imeongezeka pale juu...ila ngoja tuone, nionavyo mie safari hii bingwa atapatikana kwa tofauti ya point 1 au 2.

 
Sasa mkuu unavyojihakikishia huo ubingwa eti "Liva ndiyo Mabingwa"...angalia usije kupoteana kwa game zilizobaki bado huwezi shinda zote ujue.
 
4 point clear top of the table ....


Kabla hujaja kukomment hakikisha unanizidi point ....!

Kama wewe ni mwanume tufuate pale juu
Mkuu achana. Nao hao ata club ranking europe across all competition this season...CITY BABALAO!

 
Naona Sporting wanamhitaji dogo wetu yule pedro porro wanamtaka kwa buy option yake ya £8.5m...ila huyu dogo ana potetial kubwa sana, city wanachotaka nikuongeza kifungu cha buy back clause kwenye mkataba wake wa mauzo in case baadae wakimuhitaji watamrudisha tena. Tukumbuke pesa ya mauzo ya ferran £55m bado ipo + na huyu dogo £8.5m. Zinaweza kujaziwa na kutumika kumleta world class striker pale etihad.

 
4 point clear top of the table ....kama wao wanaona washachukua ubingwe watufuate pale juu😅😅😅
 
Hii inaonesha kuwa arsenal anatoa draw na Liverpool ....! Keep watching
 
Kuna post FABRIZIO ROMANO ameipost leo juu ya maamuzi ya rais wa madrid bwana perez kumpa mkataba mpa vini. Jr na namna walivyojipanga kumchukua mbappe on upcoming summer move huku madrid wakiwa wanamonitor kujua next club for hallaand!



Nilichogundua huyu dogo alikuwa hakiitaji kwenda madrid lakini kwa hali ya kiuchumi imewawia mgumu real kuweza kuwasajili wote wawili kwa msimu mmoja lakini anauhakika kuwa madrid watakuja kumsajili tu ata msimu ujao. Sasa kutokana na hiyo situation moja ya kitu ambacho huyu dogo anahitaji kuwepo kwenye framework ya mkataba wake pale etihadi endapo financial agreement itaafikiwa ni KUWA ANATAKA AWEKEWE KIFUNGU CHA RELEASE CLAUSE kama alivyowekewa pale dortmund ile release ya £63.5m na ndo ambayo city wanataka kuactivate icho kifungu ili wampate huyu dogo.



Sasa hiyo maana yake ni kuwa dogo anataka kufanya pale city ni kama njia yani kilabu kama madrid ikimuhitaji mda wowote watatrigger tu hiyo release clause anayotaka iwekwe kwenye mkataba wake kisha anasepa...na hiyo yote inatokana na huyu dogo kuwa na usimamizi wa wakala mwenye tamaa bwana RAIOLA.

USHAURI: huyu dogo anaweza leta gumzo pale city huko mbeleni pia ikizingatiwa endapo atawekewa hiyo release clause anayotaka AKAANZA KUDAI MALIPO YA MSHAHARA KUONGEZEWA akiamini kwamba ni rahisi kutukimbia kama hatutafikia demand ya mshahara anayotaka kama ataendeleza moto wake wa ufungaji hivyo atakuja kutuweka kwenye wakati mgumu kutokana na aina ya wakala wake mwenye tamaa(anayemsimamia pogba wa united pia)...na itakuwa tatizo zaidi kipindi ambacho atakuwa kashaingia kwenye mfumo alafu aanze kusumbua anaweza leta instability kwenye timu.

HIVYO!: ni bora pep angeangalia uwezekano wa kumshawishi lewandowski ambaye mkataba wake unaisha pale bayern hapo juni na hajapewa mkataba mpya hadi sasa lengo likiwa ni kuwa na short term replacement katika nafasi ya striker uku akiwa anamchezesha New signing Julian Alvarez baadhi ya mechi za epl hadi apo atakapo adapt EPL football, lewandowiski tukimpa mkataba wa miaka 2 itatosha kutusaidia ukizingatia atakuwa ni freeAgent. Hii ndo njia rahisi ya kumsaidia julian alvarez kuja kuvaa viatu vya aguero vyema kama hatutamchukua huyo hallaand kuavoid hizo consequences zinazoweza jitokeza huko mbeleni.
 

Buyern kweli watamuacha lewandowisky kama free agent ,kama kweli watamuacha free basi naamini vilabu vingi vitamtaka.,...!

Mkuu mfumo wa pep sidhani kama yupo tayari kuishi na natural striker ,Mimi naona media na fans ndio tunataka awe na natural striker lakin body language ya pep ni false 9 ....na pep always huwa haamini katika plan b yeye anaamini plan a ikifel ni kuboresha na sio kukimbilia plan b ,yeye ni kama kina Marcelo mpaka alitaka kuishusha Leeds united daraja kwani yeye haamini katika kubadili mbinu ...hivyo pep yeye anatafuta striker atakaye fit kucheza false 9 ....!

Pep anaamini katika talent na sio nguvu na form ya muda ,mtu kama gundogun ,bernado ,grealish aisee kwa haraka haraka kama unaakili ya kiwaki huwezi jua wanafanya Nini uwanjan na Mara nying takwimu haziwabebi lakin aisee hizo ni engine za city believe ...wanaosena grealish kaflop Mimi nawaona kama mamruki tu ....pep mwenyewe anakwambia kujua ubora wa mchezaji kwa kuangalia stats ni kuukosea mpira heshima ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…