The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


Mkuu mie ilo dili la lewandowisk...likiwezekana kufanyika itakuwa poa maana tayari tunaye alvarez ambaye yupo vyema lakini anaweza akachelewa kuadapt english football huku tukiwa tunamtegemea lewandowski. KIUKWELI KABISA TUNAHITAJI STRIKER HAIJALISHI ATAPEWA ROLE GANI EITHER AWE GOAL POACHER OR AWEZE KUCHEZA KAMA FALSE 9.

Ukitaka kujua striker anahitajika ona matokeo ya mzunguko wa kwanza yanataka kujirudia AGAINST SAINTS, SOUTHAMPTON NA PALACE...shida kuna mfumo wa kudefend from deep timu ikikutana nao inakuwa tabu kupata one on one space zakufunga kwenye opposition box...katika mechi kama iyo Striker anaumuhimu sana.
 
Etihad wanataka kumuongezea mwaka mmoja gundogan wakiwa wanatafuta mbadala wake...kuna kipindi pep alitaka kumchukua dogo mmoja anaitwa NICO GONZALEZ! lutoka barca au Frank de Jong pia alimuhitaji kwenye eneo la kiungo hio yote inatokana na mchezaji huyo alishacheza chini ya cruyff football hivyo itakuwa rahisi kuelewa mbinu za pep kwa haraka. Pia ikizingatiwa timu itamwachia fernandinho pia ambaye mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu...hivyo ni lazima eneo la viungo liboreshwe mapema.

 
HALLAAND UPDATE!!!

The circumstances have aligned perfectly for City to bring in a player who looks destined to be one of the world's best for the next decade — arguably the first time such a player has ever come to the Premier League just as he's hitting the height of his powers.

Real Madrid and Bayern Munich already have world-class No.9s, Barcelona don't have the cash and Paris Saint-Germain and Manchester United are circus shows right now. City, meanwhile, are a near guarantee of winning silverware, are expertly run, need a striker to be their main man, have an emotional connection thanks to his father and, most importantly, have Guardiola at the helm.

The world's best manager makes every player he works with better. It's scary to think what Haaland can become under his stewardship given everything the Norwegian has already achieved without it.

That's something that must have come into Haaland's thinking, with sources in Germany and Spain saying the two parties have agreed personal terms. In Germany alone, he has scored 80 goals in 80 games, as well as a further 21 assists, and perhaps he is even wondering how much better he can get.
 
Kipara ndo imeishia hapa make QF Ucl hii mara point 1 n lijamaa linavyopenda kufikiria ndo kazi imeanza kuwa mbya

Tena nakutaka ucl ni kuchakate tena
Chelsea vi man city
 
Kipara ndo imeishia hapa make QF Ucl hii mara point 1 n lijamaa linavyopenda kufikiria ndo kazi imeanza kuwa mbya

Tena nakutaka ucl ni kuchakate tena
Chelsea vi man city
Chelsea hauwezi kumfunga man city tena!!Kwa msimu huu ulio baki
 
Kipara ndo imeishia hapa make QF Ucl hii mara point 1 n lijamaa linavyopenda kufikiria ndo kazi imeanza kuwa mbya

Tena nakutaka ucl ni kuchakate tena
Chelsea vi man city
[emoji28][emoji28][emoji28]kubishana na mbwa kama hizi za Chelsea ni matumizi mabaya ya akili aisee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Utakuja nakuomba kabisa kesho wanipange na ww
Hawala hana tongozo
Usichokijua mkuu...za chini ya kapeti zinasema kutokana na hali ilivyo kule ukraine...NYIE SI NDO MNAMILIKIWA NA JASUSI WA KIRUSSIA BWANA. MOVICH...Nimepenyezewa kamati za roho mbaya zishakaa vikao tayari uko NATO na wameafikiana kwa pamoja upewe bayern, Over!
 
.fixture ya kibabe ...WWWView attachment 2155685
Fixture chafu hii, lakini apo INATAKIWA HAO ATLETICO pep amalizane nao kwenye first leg pale etihad then ni kufocus zaidi kwa liver...akifanya hivyo UEFA tunapita na liver anatulizwa vyema tu pale etihad...kwa mfano: Atlet akipigwa goli 3 au 4 yule atletico kwa uchezaji wetu wa kuposses na yeye kupack bus muda wote sion akirudisha hizo goli hata tukienda kule kwao metropolitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…