The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

dakika ya 10...man city 1 west ham 0, kasi ya man city inatisha
 
mwaka huu man city wamejipanga vizuri sana watatoa ushindani wa kweli, ila sio chama langu
 
west ham 1 man cit 1 goal west limefungwa na cole kiulaiiini...
 
mwaka huu man city wamejipanga vizuri sana watatoa ushindani wa kweli, ila sio chama langu
kamaa wanasumbua kiasi hiki wakati kuna wacheza wali mhimu wako nje...je wakipona/wakimaliza azabu itakuwaje manu atasawazisha hata kama ni dakika ya 150
 
Half time Man city 2 West Ham 1...mpira ni waushinda kweli kweli
 
kipute kinaendelea dakika ya 51 magoli bado ni 2 kwa man city na 1 kwa west ham..
 
Kwa kasi ya Man city kama itaendelea itakuwa mwisho wa big four labda iwe big five....
 



Tevez apologises to his former club's fans after scoring.




West Ham equalize!!!!!





 
Martin Petrov scores a great freekick to make it 2-1.




Tevez afunga tena to make it 3-1








 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…