The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kazi ye Leo ni kuhakikisha tuna mtoa atletico kwanza then mahesabu ya kupambana na real Madrid yanaanza ....

Game na Liverpool jesus kaonesha kitu ,Leo naona akianza kabisa ....dias karudi nimecheki mazoezi Leo naona yupo fit japo sijajua kama anaweza kuanza ....kikosi cha Leo kummaliza atletico ....,,4-3-3

Ederson

Walker -----dias----laporte ---cancelo

Bernado -----KDB--- rodrigo

Sterling-----jesus-----foden


Hawa atletico ni kuwachezea simple football ,wanapaki basi tu ,dias na Laporte watakuwa wanabaaki nyuma kabisa ,walker na cancelo wapo more energetic kupeleka mipira mbele na kurudi ,huku movement za bernado ,kDB katikati zikiwalainisha atletico .....

Kama wataendelea kucheza watu 10 kwenye box lao basi watakuwa wanajipotezea muda 😅 Kuna muda unaona kabisa atletico wanacheza 5-5-0 ndio utajua kuwa Simeon ni mzeee wa kula mirungii tu ...

Hapa lazima atletico atoke tu ,.....
 
Kwa akili zenu mlifikiri ATM attapaki basi? Na mngejichanganya mkatoa nao draw mngejua hamjui [emoji1787][emoji1787]
 
Kwa akili zenu mlifikiri ATM attapaki basi? Na mngejichanganya mkatoa nao draw mngejua hamjui [emoji1787][emoji1787]
Dakika 15 za mwanzo ATM alitafuta goli kwa nguvu nyingi sana, hawa madogo wako na speed ya hatari kinoma, wanapanda na kushuka wote.
Mancity akizubaa kidogo tu Joao Felix anawaumiza.
 
City wanapelekewa moto huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787], na wamenyimwa penalty aisee wasipo tupia goal bahati haikuwa kwao.
 
Vijana wa simeone wameonewa nikiangalia kulikuwa na penalty lakini wapi duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…