The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo yamekuwa haya?
 
We boya amka usije ukajinyea ndotoni.
Ninyi timu yenu haijafikia hatua ya kuchagua makombe sababu ninyi ni underdog tu so jana tumewazaba kihalali kabisa. Huo uwezo mngekuwa nao mngewin game zote mbili za Epl ila holaa. Mmespend pesa nyingi na mkatuaminisha mnakikosi kikibwa lkn waapi? Weupe kama kipande cha muhogo.
 
Kipigo cha mbwa Koko tunachotoa hapo epl ndio mnasalimu amri na kupiga magoti ....


Kuhusu kutumia pesa ,kama ipo kwanini isitumike kenge mburulaaa wewe ...

Kama nyie hamna pesa za kulipa mchezaji €100million na kukaa bench ,pambaneni na hao wamiliki wenu kwani pesa hawana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...

Sisi ndio tunaamua Nini la kufanya na Nini tusifanye mbwa wewe ...pambana na hali yako mbuzi wa manjano mkubwa ...!
 
Steffan kawazawadia goli moja mnaanza kujisifu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani tulimwambia atuzawadie? Huyo kipa wenu game ngum haziwezi alikuwa anaiogopa sura ya manè [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Masikini kumbe umeumia dah Hawa Liverpool wana roho mbaya
Wanaroho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ramli kama Ramli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo kama ni sare unatakaje ..!

EPL naichukua
Labda wewe unaweza pata UCL sababu ntakua nimechoka kwa kuchukua Carabao,FA na EPL
Wachezaji watakua hawana mori maana wameshinda too much.
Mpwa team hauna,huwezi chukua EPL bila false 9 ambaye ni goal getter.
Mngekuwa na mtu kama Jota ktk ama striker au false 9 ambaye analijua goli mngeisha lichukua kitambo sana

Jesus au Foden au Sterling kama namba 9 wako hawezi kukupa EPL
 
Mimi binafsi nasema Liverpool hajakutana na city ikiwa kwenye moto ..... Liverpool ni timu ya kawaida Sana
Sawa liverool n timu ya kawaida je head to head Nan kamfunga mwenzake Mara nyingi?

Unaichukulia man city Kama dude kuubwa kumbe n kajidude TU

Mlikuwa mnasema mnakikos kipana Sasa imekuaje?

City ina mchezaj mmoja TU ndyo bora naye n Kevin de bruyne pekee

Wengne n takataka TU

SS januar tumecheza bila mane salah na tumewin zote nyie mech moja kucheza bila huyo zeruzeru n shida

Tambua pesa hainunui kila kitu mkuu

Makizaneni Kwanza na Madrid ndyo mje hapa

Timu ambayo haijawah beba UEFA hyo n timu ndogo sna haiwez kukaa sahan moja na Liverpool yenye vikombe 6 na inshallah mwaka huu la saba lipo njiani

Eti Liverpool timu ya kawaida muulize OllaChuga Oc mwenzio kanyoosha mikono kabisa
 
Liverpool nayo ni timu kweli [emoji28] mnamaajabu gani ya kututisha mzee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa kipa msipompa uzoefu na mechi kama hizi hio level mnayotaka ataifikia lini?
 
Liverpool nayo ni timu kweli [emoji28] mnamaajabu gani ya kututisha mzee[emoji28][emoji28][emoji28]
Man city hasemi lolote hata kwa Nottingham forest, Nottingham forest ana Ubingwa wa Uefa mmoja. Liverpool level zake ni Ac Milan,madrid na bayern tu.

Wengine mkae kimya,bado mna safari ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…