Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Nyie nyumbu wa dogo mmecheza leo kama mpo period uefa sahauni
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujali as long as tunafocus epl...Nusu fainali ya nne MFULULIZO Pep anapoteza FA
Leo yamekuwa haya?Kwan fa yenyewe mmeshachukua ....
Unashangaa fa unagongwa na Chelsea ,maana Chelsea hawezi Toka msimu huu bila kombe ....
Uefa Villarreal anakucha ,unabaki unatoa macho ...epl pep anakunyooosha unabaki na carabao [emoji28]...
Jifunze kunyamanza mbwa wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
We boya amka usije ukajinyea ndotoni.Kwan fa yenyewe mmeshachukua ....
Unashangaa fa unagongwa na Chelsea ,maana Chelsea hawezi Toka msimu huu bila kombe ....
Uefa Villarreal anakuchapa,unabaki unatoa macho ...epl pep anakunyooosha unabaki na carabao [emoji28]...
Jifunze kunyamanza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Njoo nikuliwaze mtoto mzuri kushabikia timu ndogo kama hizi ni mateso njoo upate furaha ya milele pale AnfieldKwan leo Pep kafanyaje? Aaaaah
Yaan nmeumia mnoo.
Kumbe Mara zote tukikutana mpo kwenye period hahaha nacheka saaaaana piga man shity haoMimi binafsi nasema Liverpool hajakutana na city ikiwa kwenye moto ..... Liverpool ni timu ya kawaida Sana
Kipigo cha mbwa Koko tunachotoa hapo epl ndio mnasalimu amri na kupiga magoti ....We boya amka usije ukajinyea ndotoni.
Ninyi timu yenu haijafikia hatua ya kuchagua makombe sababu ninyi ni underdog tu so jana tumewazaba kihalali kabisa. Huo uwezo mngekuwa nao mngewin game zote mbili za Epl ila holaa. Mmespend pesa nyingi na mkatuaminisha mnakikosi kikibwa lkn waapi? Weupe kama kipande cha muhogo.
Huna lolote mzee city for life ....hata uchukie epl ,uefa ,fa ,carabao ,la Liga ,bundasliga ,kombe la dunia Qatar........we are cityzen and we go ......Kumbe Mara zote tukikutana mpo kwenye period hahaha nacheka saaaaana piga man shity hao
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Kipa kawapa zawadi ya goli
Mimi binafsi naona ni sawa ,tutarudi na nguvu zotee epl........
Next step ni Brighton ....!
Kwa hiyo kama ni sare unatakaje ..!Brighton wa moto sana sana
City kachoka mno jamani
Nadhani ni sare hii game
Kwani tulimwambia atuzawadie? Huyo kipa wenu game ngum haziwezi alikuwa anaiogopa sura ya manè [emoji23][emoji23][emoji23]Steffan kawazawadia goli moja mnaanza kujisifu [emoji28][emoji28][emoji28]
Wanaroho mbaya sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Masikini kumbe umeumia dah Hawa Liverpool wana roho mbaya
Ramli kama Ramli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwan fa yenyewe mmeshachukua ....
Unashangaa fa unagongwa na Chelsea ,maana Chelsea hawezi Toka msimu huu bila kombe ....
Uefa Villarreal anakuchapa,unabaki unatoa macho ...epl pep anakunyooosha unabaki na carabao [emoji28]...
Jifunze kunyamanza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa hiyo kama ni sare unatakaje ..!
Sawa liverool n timu ya kawaida je head to head Nan kamfunga mwenzake Mara nyingi?Mimi binafsi nasema Liverpool hajakutana na city ikiwa kwenye moto ..... Liverpool ni timu ya kawaida Sana
Liverpool nayo ni timu kweli [emoji28] mnamaajabu gani ya kututisha mzee[emoji28][emoji28][emoji28]Sawa liverool n timu ya kawaida je head to head Nan kamfunga mwenzake Mara nyingi?
Unaichukulia man city Kama dude kuubwa kumbe n kajidude TU
Mlikuwa mnasema mnakikos kipana Sasa imekuaje?
City ina mchezaj mmoja TU ndyo bora naye n Kevin de bruyne pekee
Wengne n takataka TU
SS januar tumecheza bila mane salah na tumewin zote nyie mech moja kucheza bila huyo zeruzeru n shida
Tambua pesa hainunui kila kitu mkuu
Makizaneni Kwanza na Madrid ndyo mje hapa
Timu ambayo haijawah beba UEFA hyo n timu ndogo sna haiwez kukaa sahan moja na Liverpool yenye vikombe 6 na inshallah mwaka huu la saba lipo njiani
Eti Liverpool timu ya kawaida muulize OllaChuga Oc mwenzio kanyoosha mikono kabisa
Sasa kipa msipompa uzoefu na mechi kama hizi hio level mnayotaka ataifikia lini?Leo Pep na City nzima kwa ujumla inaonekana hawakuwa na mzuka na hii mechi, hata sub kafanya moja tu wakati majembe mengi ya maana yalikuwa nje.
Pamoja na hayo lakini bado tumefanya makosa kibao na mpinzani wetu ametuadhibu.
1.Kipa bado sio mzuri kuanzisha mashambulizi kutokea nyuma kama Ederson.
2.Ndihno muda wake umefika tamati, kapoteza mipira kadhaa na faulo za kijinga.
3. Sterling na Mwenzie Jesus waache uchoyo.
4. Greelish tumepigwa
5. Zinchenko naona hana game-time
Naimani Pep amefanya maamuzi sahihi kwa ajili ya mechi muhimu mbeleni.
Man city hasemi lolote hata kwa Nottingham forest, Nottingham forest ana Ubingwa wa Uefa mmoja. Liverpool level zake ni Ac Milan,madrid na bayern tu.Liverpool nayo ni timu kweli [emoji28] mnamaajabu gani ya kututisha mzee[emoji28][emoji28][emoji28]