Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Huyo ni shabiki wa Man city mkuu!Alishatoa maelezo jinsi alivyo anza kuwa fan wa city mpaka sasa na kinacho FANYA awe shabiki wa city ni bado chaliii.. maaana umri alio Anza kushabikia mpira ndo kipindi man city inasumbua mpaka ikachukua na kombe la EPL.
Blue city View attachment 2192630
Leo tumuombee man utd afanye miracle ,apate hata draw tu ....!
Na hivi CR 7 hayupo sioni hata nani ataweza kufunga Goli [emoji1787][emoji1787][emoji1787].,..
Man utd come on ...!
Lazima tuombeane kuteleza tu [emoji28]Si tulikibaliana kila Mtu ashinde mechi zake hakuna kuomba kusaidiwa?
Sisi tunawaza epl na UEFA usitutoe kwenye reli ....!Hivi lini na nyinyi mutakuwa na uwanja wenu wenyewe na kuachana na kukodi huo uwanja wa Jiji?
Kwa hali hiyo ya kutokuwa na uwanja itaendelea kubakia kuwa MANCHESTER IS RED.
Sisi tunawaza epl na UEFA usitutoe kwenye reli ....!
Hiki kikosi ,nitaangalia mpira kwa vibeView attachment 2194588
man city asi drooo [emoji23][emoji23][emoji23] ntakomaaaBado 0-0?