The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Blue city
mancity-20220419-0001.jpg
 
Huyo ni shabiki wa Man city mkuu!Alishatoa maelezo jinsi alivyo anza kuwa fan wa city mpaka sasa na kinacho FANYA awe shabiki wa city ni bado chaliii.. maaana umri alio Anza kushabikia mpira ndo kipindi man city inasumbua mpaka ikachukua na kombe la EPL.

Kama bado chalii basi hapo sawa lakini Kuna muda awe anatuheshimu basi wakubwa zake.
 
Sina shaka na ushindi,watajitahidi tu kupunguza idadi ya magori ila point zetu wataziacha Etihad stadium.
 
Hahahahahahaaaa! hawa mbuzi nilisema watapunguza idadi ya mabao tu japo point 3 zetu wataziacha.
 
Back
Top Bottom