Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Hakuna team apoZifike tano
Hii game mnashinda ila upande wa beki ya kulia ndio shida. Huko mkizingua mtatoa sare.Hatuna RB Hadi stone katoka eti frenandihno ndio anacheza daaa ,ule upande vin akiujulia basi tunaenda kuumia kabisa ....!
Phoden ukoTimu yenu utoto mwingi Sana, utawacost
Si mlisema Madrid wepesi kama karatasiHatuna RB Hadi stone katoka eti frenandihno ndio anacheza daaa ,ule upande vin akiujulia basi tunaenda kuumia kabisa ....!