Mbona unakuwa wepesi kusahau kwani Madrid hii itakuwa Mara ya kwanza kwenda kufungwa na city Bernabeu?Timu imefunga magoli 3 Nyumbani kwako bado hujaona Tatizo?
Subiri 2nd Leg.
Angalia na head to head ya Madrid na man city Basi match 4 city kashinda 3 mfululizo Madrid kashinda mojaTimu nyepesi hii unayosubiri mpaka ipate Tatizo ndiyo uifunge?
Ulisubiri Mane Apigwe Red Card ndiyo ukanifunga! Tulipokuwa Kamili nikakutandika CL nje Ndani kwa aibu.
Ukanitokea Msimu uliopita nimejaa Injuries Watu wanajipigia Tu ndiyo nawewe ukanifunga.
Lakini nikiwa kamili kama Msimu huu ushindi wa Man City mwisho Draw! Kama unabisha weka Head To Head uone utakavyokimbia manake kwenye Uzi wetu siku moja ulikuja na Head To Head ya kufoji nikakuekea ya kweli ulikimbia 120km/h [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasahivi umekuwa kama Mshabiki wa Chelsea manake wanajisifu Liverpool kwao ni Timu nyepesi lakini kila baada ya Misimu 4 ndiyo wanapata ushindi wa kuotea mara Moja.
Sasa na wewe unasema Liverpool ni Timu nyepesi! Sijui ungekuwa unatutandika nje Ndani kama unavyowaonea kina Chelsea na Manure ungesemaje? [emoji23][emoji23]
Huna akili ww league mechi zote sare ya mbili kwa mbili2021/2022
Chelsea Timu Ngumu: Umepiga Nje Ndani.
Liverpool Timu Nyepesi: Liverpool 3 - 2 Man City
Liverpool 2 - 2 Man City
Liverpool 0 - 0 Man City
Wewe huenda unavuta Bange [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unauhakika hata wa kupata sare kwa Villarreal e[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Madrid anakitu gani hasa mbona Mimi sioni ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumemzidi kila kitu ,hakuna sehemu ambayo katukamata ,pressing ,build up ,yaan kiufupi Madrid ni underdog kabisa ,....!
ifike mahali mkubali tu Madrid ni mbovu ,kwa kikosi cha Jana kama tungekuwa tunacheza na Liverpool au Chelsea tungeumia sana .......ila Kwa vile ni Madrid Bado kapata tough game [emoji23][emoji23]
Kashinda 5 sio?Unasema?
Liverpool kakuonyesha njia ya kumaliza mechi kiurahisi kwako
Isha ingia final
Hakili huna mbona msimu Jana man city alimtoa PSG Tena alimfunga nje ndani?Huwezi mtoa Madrid
Madridi kamtoa PSG na Chelsea wkt ww uli struggle sana kwa Cholo
Sasa Liverpool kacheza na Villarreal tu kaishia mbili bilaUnasema?
Liverpool kakuonyesha njia ya kumaliza mechi kiurahisi kwako
Isha ingia final
Tofaut ipo mkuuSasa Liverpool kacheza na Villarreal tu kaishia mbili bila
Na mm niliyemfunga Madrid 4 kwa 3 tunatofauti gani?
Kijana arudi vidudu inaonekana alikuwa anamchukia mwalimu wake wa hesabu.Tofaut ipo mkuu
Gol difference n 1
Huna clean sheet
Liverpool anaenda akiwa na advantage ya +2
Wakat wewe unaenda ukiwa na +1
Kimahesabu bado unakaz ngumu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hawa viumbe wanamchukulia poa sana city ila hawataamini kinachoenda mpata.Hakili huna mbona msimu Jana man city alimtoa PSG Tena alimfunga nje ndani?
Na msimu juzi pia mbona man city alimfunga MADRID nje ndani mbona mnakuwa wasahaulifu Sana?
Mungu ibariki Man City ishinde 🙏Mbona kimya kingi humu!?
Kwani mnacheza saa ngapi!?@Pain killerMungu ibariki Man City ishinde [emoji120]
City 1-0Leeds💪
Ubingwa uko palepale, Man City nguvu moja💪💪💪City 3:0 leeds