The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hili timu lenu siyo uefa materials. Uyu Pep ataondoka hapa city bila hili kombe..
Ninyi ni takataka haswa..
,#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] si utulize kwani chini, wee umetolewa kaa pembeni lol.
 
Arsenal waache masiala kabisa ,yaani tuwauzie Jesus kwa £35million [emoji23][emoji23][emoji23] kwanza kabisa pep ahakikishe Jesus haondoki kabisa city ,!
mancity-20220430-0002.jpg
 
Back
Top Bottom