makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Natamani liverpool ashinde ila game naiona ngumu saana iko 50/50 hii, si rahisi kumoiga tena guardiola.Mimi Fainali namtaka huyu Man shity nimpige tena kama kwenye FA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani liverpool ashinde ila game naiona ngumu saana iko 50/50 hii, si rahisi kumoiga tena guardiola.Mimi Fainali namtaka huyu Man shity nimpige tena kama kwenye FA
Hivi ile FA ulicheza na man city b ,unakuja kusema uliifunga ze cityzen ...![emoji28][emoji28][emoji28]Mimi Fainali namtaka huyu Man shity nimpige tena kama kwenye FA
Madrid hata azikiri uchi, fainali kuipata ni mbinde,game ya kwanza. City walifanya utoto tu ilibidi wafe nyingi
Utakuwa na dalili za kuugua wewe sio bure tena ugonjwa umekimbilia kichwani.Hichi Kigenge leo kinakwenda kufunzwa adabu na namna ya kuwaheshimu wakubwa na Wababe wa Ulaya.
Dua la kuku ...!Hichi Kigenge leo kinakwenda kufunzwa adabu na namna ya kuwaheshimu wakubwa na Wababe wa Ulaya.
Mpira hauna bahati ni uwezoMadrid kama bado bahati inawafuata leo wana shindaa
Tukutane parisDua la kuku ...!
Hii ndio game Bora ya uefa mwaka huu sio hizo Europa za kina villareal [emoji1787][emoji1787]
SalahMimi nawataka nyie man shity fainali najua Pep ataovathink na itakula kwake. Kwanza Madrid akipita atapata muda mwingi wa kupumzisha wachezaji wake kwasababu La liga yeye bingwa tayari. Leo mpite tu
Kila mtu anachaguo lake