Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,110
Hakuna tofauti sababu hakuna kitu kinachoitwa Away goal sikuizi4-3 na 2-0 Kwa hiyo hapo huoni tofauti?
Au kaka una andika ukiwa bar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tofauti sababu hakuna kitu kinachoitwa Away goal sikuizi4-3 na 2-0 Kwa hiyo hapo huoni tofauti?
Au kaka una andika ukiwa bar?
Next game epl
Man city vs Newcastle
Liverpool Vs Spurs
Hii game ya Spurs na Newcastle ndio nilitegemea Liverpool atapoteza ,wacha tuone kwa Spurs ...
Hakuna namna [emoji28][emoji28][emoji28]
Acha ubishi hiyo sio Away goal ni Aggregate (GD) pana tofauti hapo.Hakuna tofauti sababu hakuna kitu kinachoitwa Away goal sikuizi
Dogo alikimbia umandeAcha ubishi hiyo sio Away goal ni Aggregate (GD) pana tofauti hapo.
4-3
2-0
Aggregate
Real 5 - 4 Man City
Hivyo Aggregate itakuwa
Real 1 - 0 Man City
Ambayo tunaita GD (Goal deference) ya 1
Unacheza ueropa kijana kaa pembeni...uefa ni keshoLeo tunawakaribisha muje na Note Book kuchukua notes za namna Timu inavyocheza ugenini.
Kane na son wanakuja kuwatoa makamasi nyie kuku [emoji28][emoji28]Tuachane na Zamani utasema Spurs ilikuwa Timu ndogo, lakini turudi kipindi cha Miaka 10 tu iliyopita ambapo Spurs ilishaingia kwenyewe Top 6 unaweza kusema imeshamfunga Liverpool mara ngapi na yeye kafungwa na Liverpool mara ngapi?
Kama hujui ni kwamba Spurs ndiyo kibonde wa Liverpool kwenye EPL.
Mahesabu ya Nini mzee hapa umeshindwa kusema ...Acha ubishi hiyo sio Away goal ni Aggregate (GD) pana tofauti hapo.
4-3
2-0
Aggregate
Real 5 - 4 Man City
Hivyo Aggregate itakuwa
Real 1 - 0 Man City
Ambayo tunaita GD (Goal deference) ya 1
Hujui hata ratiba Mzee ,tulia [emoji28][emoji28][emoji28]Madrid kama bado bahati inawafuata leo wana shindaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unacheza ueropa kijana kaa pembeni...uefa ni kesho
Real Madrid Vs Manchester city..
Siwezi poteza muda kuaangalia Europa Mimi
Fainali ni man city na liverpool, bonge moja la fainaliMadrid kama bado bahati inawafuata leo wana shindaa
Sijui ratiba gan?Hujui hata ratiba Mzee ,tulia [emoji28][emoji28][emoji28]
Nawasiwasi na city. Hi away game ni ngumuFainali ni man city na liverpool, bonge moja la fainali
Madrid hata azikiri uchi, fainali kuipata ni mbinde,game ya kwanza. City walifanya utoto tu ilibidi wafe nyingiNawasiwasi na city. Hi away game ni ngumu
Kisa alikupiga ww? Kunasiku ulisema Arsenal atatupiga au sio ww? Saiv umehamia kwa Spurs haya.Next game epl
Man city vs Newcastle
Liverpool Vs Spurs
Hii game ya Spurs na Newcastle ndio nilitegemea Liverpool atapoteza ,wacha tuone kwa Spurs ...
Hakuna namna [emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja tuoneMadrid hata azikiri uchi, fainali kuipata ni mbinde,game ya kwanza. City walifanya utoto tu ilibidi wafe nyingi
Sio arsenal tu kila timu inayocheza na liverpool Mimi naishangilia [emoji28][emoji28][emoji28]Kisa alikupiga ww? Kunasiku ulisema Arsenal atatupiga au sio ww? Saiv umehamia kwa Spurs haya.
Mimi Fainali namtaka huyu Man shity nimpige tena kama kwenye FAFainali ni man city na liverpool, bonge moja la fainali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka hapo nimekuelewa [emoji1787][emoji1787]Sio arsenal tu kila timu inayocheza na liverpool Mimi naishangilia [emoji28][emoji28][emoji28]