The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Nyie macarabao na EPL ndo uwezo ulipoishia. Huku Europe cups bado sana.
We nae khaaah, tumefika final mara 2 mfululizo, now tumeishia semi ndo hatuwezi?
Hatuna bahati na UEFA. Nwei mkapambane nyie wenzetu mnaojifanya mnaweza sana.
 
Haya nendeni final mkatwae la 7, sisi tumewachia wenyewe mpambane nalo.
Mmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
 
Bora Liverpool tukutane na hawa vijana wa Anceloti....sitamani kabisa kuonana na Joseph Guardiola.....

#Siempre JMT[emoji120]

Mkuu angalia unacho omba!
Madrid ni wagumu zaidi ya Madrid UCL.
Kwenye UCL huyu KDB huwa ana choke mapema
 
Mmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] yaan Man City km msimu huu ameshindwa bas, hata asiwe anashiriki UEFA, yaan tunapitwa had na Aston Villa? Mwenzetu ana UEFA khaaaah
 
Mmekuwa wapole eeenhee na majigambo yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], sisi hata tusipo beba UCL ila kwa majigambo yenu mmetolewa hadi ninafuraha. Muache majigambo mkuu pep sio UCL material fukuzeni huyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee hio ndio football,haijalishi sio CL materials lakin kashatupa mafanikio ,Sasa nadhni ni muda wa yeye mwenyewe kusema hadhari kuwa kafeli kubeba CL

Maana mpaka Sasa Hana kisingizio kingine [emoji23][emoji23]
 
Narudia tena Pep pale city bado ni failure mpaka abebe UEFA
 
Uchawi wa PEP ukiacha kufanya kazi wachezaji wengi wa city wanakuwa takataka mmojawapo ni Rahim Stearling
Uyu Dogo na Mwenzie glealish wamevurunda mno,

walikua hawana msaada kabisa timu yao inaposhambuliwa[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…