Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jesus anabaki,
Sterllinh na Gearish waondoke kabisaaa
Tuna imani na team yetu, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Mtuache na City yetu, nyie big boyz mkacheze final huko, lol.Chama kubwa bila UCL [emoji2]
UCL for the big boyz
Khaaaaah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Laana haina uhusiano na uchawi kabisa babu, kipara alisahau kabisa kombe la ucl ktk akili yake!Waulize kwanini timu za afrika kombe la dunia hizifiki popote, hakuna swala la uchawi wala nini. City walikosa mfungaji
[emoji13]Mzee mimi mwnyw ni Man City ila jana tulikuwa tuna kila sababu ya kushinda,ila Karma tu ilimuua Pep.
Maana hakuna mechi yeyote Pep afungwe goli vile tena za haraka haraka vile.
Ni maajabu tu
Kabisa mkuu uefa ina wenyewe kama kina Chelsea
Mkuu nimepitia comment zako, huyu Pain killer ulimwambia kila kitu tangu mwanzo kwamba mtapigwa lakini hakusikia na ndio kimetokea.
Mkuu tusimcheke nakati wanatuita sisi ni mashabiki wa Mourinho tu aliyekuja Chelsea 2003 lakini bado tumepata mafanikio tele tokea huo mwaka kuliko klabu yoyote UK [emoji848][emoji28]Na nyinyi Chelsea munamcheka Man City? [emoji23][emoji23][emoji23]
Shushia maji ya kunywa ya bariiidi usije kufa kwa uchungu [emoji38]Nimeumia sn City kutoka
Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?Na nyinyi Chelsea munamcheka Man City? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Na bado nakuambia Na bado.Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?
Yaan had Aston Villa hatufanan nae, city inatuumiza sana watu wake, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huyo na Lukaku hawana tofauti kabisa, hakika Mwacity na Chelsea tulipigwa na vitu vizito [emoji851][emoji1732][emoji23]Imagine Jack kanunuliwa kwa €100m
Walishakuwa na on target 1 kupitia BenzemaHadi dakika ya 90 RM hawakuwa na on target yeyote kama takwimu zangu ziko sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hebu niache bhana nawee khaaah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Na bado nakuambia Na bado.
Ila city wameonyesha kuwa hawatoshei kwenye haya mashindano. Walitucheka sanaWalishakuwa na on target 1 kupitia Benzema
Binafsi nilifurahi sana jana maana hawa Mwacity huwa wanajiona wako sayari nyingine kabisa kiuwezo katika soka [emoji1]Ila city wameonyesha kuwa hawatoshei kwenye haya mashindano. Walitucheka sana