The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyo Newcastle anapigwa hata na akina ake mzee , [emoji28]

Mfunge kwanza Spurs ndio uje uongee na wanaume kama sisi ..!
Nadhani kama ungekuwa umekubaliana na hali halisi usingejiita mwanaume kwa kile ulichofanywa jana pale bernabeu.

Newcastle unajua katika mwaka huu 2022 kwenye league amechukua points nyingi kukuzidi au hujui?

Huyo Spurs kwangu ni mtori tu.
 
Game epl zilizobaki ...

Vs Newcastle

Vs westham

Vs wolves

Vs astonvilla

Let's go
 
Nadhani kama ungekuwa umekubaliana na hali halisi usingejiita mwanaume kwa kile ulichofanywa jana pale bernabeu.

Newcastle unajua katika mwaka huu 2022 kwenye league amechukua points nyingi kukuzidi au hujui?

Huyo Spurs kwangu ni mtori tu.
Kama ukiangalia mpira Jana ,najua unaijua city ni timu gani ....

City Bado ni machine Kali Sana ,hizo goli mbili za mistake usifikili zinaweza kuivunja .....

Hao Newcastle wanaenda kupigika vizuri tu
 
Kama ukiangalia mpira Jana ,najua unaijua city ni timu gani ....

City Bado ni machine Kali Sana ,hizo goli mbili za mistake usifikili zinaweza kuivunja .....

Hao Newcastle wanaenda kupigika vizuri tu
Ni kweli City ni team kali sana hakuna asietambua ila kuna mashindano ya wanaume kama Madrid na Liverpool ambayo the likes of City inabidi muwe mnatoa tu usindikizaji.

Ndicho mlichofundishwa jana.
 
Kama ukiangalia mpira Jana ,najua unaijua city ni timu gani ....

City Bado ni machine Kali Sana ,hizo goli mbili za mistake usifikili zinaweza kuivunja .....

Hao Newcastle wanaenda kupigika vizuri tu
Dogo bwabwaja Sana ukwel utabak pale pale wewe n timu ndogo linafika suala la klabu bingwa

Chenga sijui pressing haztakusaidia kitu chochote Zaid ya magol

Umrmuona Liverpool anapoamua kutafuta Jambo lake

Kumbuka haya

Villarreal 2-0liverpool ht

Villarreal 2-3liverpool ft

Barca 3- 0liverpool first league

Liverpool 4 - Barca 0 second league

Ac Milan 2- 0 Liverpool ht

Ac Milan 2-2liverpool sec half

Angalia records hizo

Wewe unaweza fanya haya usiku wa ulaya
Itakuchukua miaka buku kufanya hayo
 
Ni kweli City ni team kali sana hakuna asietambua ila kuna mashindano ya wanaume kama Madrid na Liverpool ambayo the likes of City inabidi muwe mnatoa tu usindikizaji.

Ndicho mlichofundishwa jana.
Hiyo Madrid Haina ubora wowote mzee labda ni vile football inamatokeo yake .....!

Any way wacha tuendelee na ligi uefa tutajiandaa next season ...!
 
Kama ukiangalia mpira Jana ,najua unaijua city ni timu gani ....

City Bado ni machine Kali Sana ,hizo goli mbili za mistake usifikili zinaweza kuivunja .....

Hao Newcastle wanaenda kupigika vizuri tu
We n kenge kwel ili goli lifungwe lazma iwepo mistake hakuna gol bila mistake mkuu

Kajifunze nn maana ya mistake
 
Sis tushakubali na kuamua kumove on ,next season wewe umekaza fuvu kutupangia kwamba ni lazima man city achukue CL mwaka huu ,unapangia timu makombe , [emoji28]

Unashabikia mpira kwa mihemko,kwamba ilikuwa lazima city achukue CL ,huelewi football nin ?
 
Kwahiyo Liverpool tunaenda kumpiga mapema sio huyo Madrid?
Huyo Madrid anaenda kupigika mapema Sana mkuu ,first leg ilionesha kabisa ,hata 2rd leg imeomesha kabisa ,Madrid Hana timu trust me Wala hawezi kubeba uefa kwa kubahatisha bahatisha vile ...

Amebahatisha kwetu asifikili na huko anakoenda anaweza kubahatisha ...!
 
Sasa Chelsea tunafanana nae? Yeye anazo 2 sisi je?
Yaan had Aston Villa hatufanan nae, city inatuumiza sana watu wake, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yaani kabla ya mechi ulivyokuwa unapita kwenye majukwaa ya Watu na kujichekeshachekesha hukuamini kama utakuwa mnyonge kiasi hichi.
 
Best ya Nyoko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyo Newcastle anapigwa hata na akina ake mzee , [emoji28]

Mfunge kwanza Spurs ndio uje uongee na wanaume kama sisi ..!

Kwa hiyo uwezo wenu ni kuwafunga akina Newcastle?
Unakua na kikosi cha bilion ili kumfunga Leeds?

Spurs hawezi msumbua Liverpool huyu Anfield
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…