Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kuna maisha nje ya mpira, km wee maisha yako umewekeza kwa mpira tyuuh ni wee.
Usinipangie khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dont care. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha. Just hahaha
Team ya kiumeni ni Livakuku? Hi inayotembelea upepo tyuuh?Teh teh teh teh. Hamia kiumeni achana na team mbofu mbofu hizo.
Kheeeeeh kwahiyo wee maisha yako ni mpira tyuuh? Hivi unajua unacho kizungumza lakn? Uwiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya kipigo ndiyo umejua kubwa kuna maisha nje ya mpira? [emoji23][emoji23]
Kauli hii tungeisikia kabla ya Jumatano ndiyo tungekuelewa zaidi [emoji23][emoji23]
Pole sana. Halafu this weekend mnatema ngisi kwa Newcastle.Dont care. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pepe Nganiola wa huku Ibisabageni.Man City kwenye game 5
- Game 3 against Liverpool ameconcede magoli 2 + 2 + 3 = 7
- Game 2 against Real Madrid ameconcede magoli 3 + 3 = 6
Tumu 2 kwa Game 5 ameruhusu magoli 13.
Hey Nukesto na Westham shambulieni tu shambulieni tu hakuna walinzi hapo ni Panyarodi wanaolipwa vizuri tu ๐๐๐
View attachment 2213553
Inatembelea upepo? For real? Wewe kweli mpira unaweza kuwa umeuvamia kama hujawahi kigundua kuwa Liverpool ndio team bora ya mpira katika ulimwengu huu.Team ya kiumeni ni Livakuku? Hi inayotembelea upepo tyuuh?
Khaaaah hauko serious wee, niko sana na Etihad.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeniii mjipange huko na Final, msipochukua UEFA bas mrudi kujipanga mwakan.Pole sana. Halafu this weekend mnatema ngisi kwa Newcastle.
The whole world will be like "Oooh Poor Man Shit".
Team ya kiumeni ni Livakuku? Hi inayotembelea upepo tyuuh?
Khaaaah hauko serious wee, niko sana na Etihad.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3] haya tuishi humo.Inatembelea upepo? For real? Wewe kweli mpira unaweza kuwa umeuvamia kama hujawahi kigundua kuwa Liverpool ndio team bora ya mpira katika ulimwengu huu.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] badala mjadili final nyie mko na sie, woiiiiiiiiih.Tunaotembelea upepo tupo Fainali [emoji23][emoji23]
Wanaotembelea Oil money wanamalizia Matanga [emoji31][emoji31][emoji31]
Pepe Nganiola wa huku Ibisabageni.
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] badala mjadili final nyie mko na sie, woiiiiiiiiih.
Kumbe mlikua mnatuogopa eeeeh? Hahahah
Si huyuhuyu alikuwa akikatiza kwenye majukwaa ya watu? Saivi kunamaisha nje ya mpira tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya kipigo ndiyo umejua kuwa kuna maisha nje ya mpira? [emoji23][emoji23]
Kauli hii tungeisikia kabla ya Jumatano ndiyo tungekuelewa zaidi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Westham unatufananisha nae sie? Real? Usivuke mipaka wee mtu, kuwa na adabu.Tuko na nyinyi kwasababu ya Vidomodomo vyenu [emoji23][emoji23]
Mbona hatujaenda kwa Westham [emoji23][emoji23]
Mbna bado nakatiza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si huyuhuyu alikuwa akikatiza kwenye majukwaa ya watu? Saivi kunamaisha nje ya mpira tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Westham unatufananisha nae sie? Real? Usivuke mipaka wee mtu, kuwa na adabu.