Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Kuna maisha nje ya mpira, km wee maisha yako umewekeza kwa mpira tyuuh ni wee.
Usinipangie khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kipigo ndiyo umejua kuwa kuna maisha nje ya mpira? ๐๐
Kauli hii tungeisikia kabla ya Jumatano ndiyo tungekuelewa zaidi ๐๐