The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna maisha nje ya mpira, km wee maisha yako umewekeza kwa mpira tyuuh ni wee.
Usinipangie khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Baada ya kipigo ndiyo umejua kuwa kuna maisha nje ya mpira? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kauli hii tungeisikia kabla ya Jumatano ndiyo tungekuelewa zaidi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Man City kwenye game 5
  • Game 3 against Liverpool ameconcede magoli 2 + 2 + 3 = 7
  • Game 2 against Real Madrid ameconcede magoli 3 + 3 = 6

Tumu 2 kwa Game 5 ameruhusu magoli 13.

Hey Nukesto na Westham shambulieni tu shambulieni tu hakuna walinzi hapo ni Panyarodi wanaolipwa vizuri tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

20220506_080131.jpg
 
Baada ya kipigo ndiyo umejua kubwa kuna maisha nje ya mpira? [emoji23][emoji23]
Kauli hii tungeisikia kabla ya Jumatano ndiyo tungekuelewa zaidi [emoji23][emoji23]
Kheeeeeh kwahiyo wee maisha yako ni mpira tyuuh? Hivi unajua unacho kizungumza lakn? Uwiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Man City kwenye game 5
  • Game 3 against Liverpool ameconcede magoli 2 + 2 + 3 = 7
  • Game 2 against Real Madrid ameconcede magoli 3 + 3 = 6

Tumu 2 kwa Game 5 ameruhusu magoli 13.

Hey Nukesto na Westham shambulieni tu shambulieni tu hakuna walinzi hapo ni Panyarodi wanaolipwa vizuri tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View attachment 2213553
Pepe Nganiola wa huku Ibisabageni.
 
Pole sana. Halafu this weekend mnatema ngisi kwa Newcastle.

The whole world will be like "Oooh Poor Man Shit".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeniii mjipange huko na Final, msipochukua UEFA bas mrudi kujipanga mwakan.

EPL ni letu. Hahahah
 
Inatembelea upepo? For real? Wewe kweli mpira unaweza kuwa umeuvamia kama hujawahi kigundua kuwa Liverpool ndio team bora ya mpira katika ulimwengu huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3] haya tuishi humo.
Relaaaaaax
 
Tunaotembelea upepo tupo Fainali [emoji23][emoji23]

Wanaotembelea Oil money wanamalizia Matanga [emoji31][emoji31][emoji31]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] badala mjadili final nyie mko na sie, woiiiiiiiiih.
Kumbe mlikua mnatuogopa eeeeh? Hahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] badala mjadili final nyie mko na sie, woiiiiiiiiih.
Kumbe mlikua mnatuogopa eeeeh? Hahahah

Tuko na nyinyi kwasababu ya Vidomodomo vyenu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbona hatujaenda kwa Westham ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Baada ya kipigo ndiyo umejua kuwa kuna maisha nje ya mpira? [emoji23][emoji23]
Kauli hii tungeisikia kabla ya Jumatano ndiyo tungekuelewa zaidi [emoji23][emoji23]
Si huyuhuyu alikuwa akikatiza kwenye majukwaa ya watu? Saivi kunamaisha nje ya mpira tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlinzi wa kulia wa Man City [emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Walker amekutana na shughuli nzito dhidi ya Vinicius Jr [emoji1054]

Ameshindwa kuendelea na mchezo, bwana Mdogo ni kama ana mapafu ya mbwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#UCL
 
Tuko na nyinyi kwasababu ya Vidomodomo vyenu [emoji23][emoji23]
Mbona hatujaenda kwa Westham [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Westham unatufananisha nae sie? Real? Usivuke mipaka wee mtu, kuwa na adabu.
 
Si huyuhuyu alikuwa akikatiza kwenye majukwaa ya watu? Saivi kunamaisha nje ya mpira tena? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna bado nakatiza, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena napuyanga haswaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa Westham unatufananisha nae sie? Real? Usivuke mipaka wee mtu, kuwa na adabu.

Kwani Westham umemzidi nini kwa mfano?

Westham = 0 UCL ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
Man City = 0 UCL ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Nyote ni mediocre tu underdog wa Ulaya ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom