The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haya ma Wolves yameniboa sana kwa kutuharibia clean sheet kwa mechi yetu ya leo. Nimechukia
 
Nimeshasema city akiwa kwenye form hatakuna mbwa atakayekatiza ....


Next

Westham


Hakuna game ngumu kwetu huyo tunaenda kumchakaza goli 3+
 
Mungu aliona mbali Sana ,maana tungefika final uefa huyo liverpool angejuta kuingia uwanjani walahi [emoji23]
 
Liverpool upepo umeshakata Sasa timu inashinda
1-0

2-1 ,

inafukuzana na mtu anayepiga

4-0

5-0

1-5

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ila sterling daaa ,kapoteza nafasi kibao ,pass nying kdb anapiga lakin lakin yupo out of position daa[emoji18][emoji18][emoji18]

Huyu ndio alitakiwa kupelekwa arsenal kabisa
 
Pass za zincheko zimenyooka kama rula ,aisee mguu wa kushoto wa zin una nguvu Sana ,
 
Kubali tu mnamchukia pep bila sababu za msingi [emoji28]
Tumchukie Pep kwasababu ya EPL na mickey mouse cups ambazo zote Klopp keshabeba. Si tunaongea ukweli PEP kama ilivyo kwa makocha wanaopita PSG lengo ni kushinda UEFA sio makombe ya ndani ambayo wanashinda almost kila msimu
 
Tumchukie Pep kwasababu ya EPL na mickey mouse cups ambazo zote Klopp keshabeba. Si tunaongea ukweli PEP kama ilivyo kwa makocha wanaopita PSG lengo ni kushinda UEFA sio makombe ya ndani ambayo wanashinda almost kila msimu
Kwa hiyo league ya uingereza ishakuwa league 1 ,Seria A, bundasliga, [emoji28] [emoji28][emoji28]
 
Liverpool upepo umeshakata Sasa timu inashinda
1-0

2-1 ,

inafukuzana na mtu anayepiga

4-0

5-0

1-5

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaman isiwe kweli hii issues khaaah,
Man city wataniudhi na kunikera mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jaman isiwe kweli hii issues khaaah,
Man city wataniudhi na kunikera mnoo.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2221143
Deal la halaand ndio linazidi kufanya wakala wa Jesus kufanya biashara na arsenal ....! Kuna uwezekano mkubwa akaenda arsenal ...!


Pep naona kaamua kumuacha aende ...

sterling ndio anatakiwa kuondoka ....
 
Deal la halaand ndio linazidi kufanya wakala wa Jesus kufanya biashara na arsenal ....! Kuna uwezekano mkubwa akaenda arsenal ...!


Pep naona kaamua kumuacha aende ...

sterling ndio anatakiwa kuondoka ....
Sterlling ndo aondoke jaman, jesus abaki.
Kwa kweli nitaumia mnooo, zaidi ya Aguero. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwani hamuwezi kusherehekea Ubingwa wenu kimya kimya hadi mutufanyie fujo?
 
Vilabu vya Spain 🇪🇦 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 vyenye Mataji mengi ya kimataifa.

🔃 Real Madrid 🇪🇦
✅ UEFA champions league = 13
✅ UEFA Europa league = 2
✅ UEFA Super Cup = 8
✅ Club World Cup = 4
Total > 13+2+8 = 2️⃣7️⃣ trophies 🏆

🔃 Liverpool 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
✅ UEFA champions league = 6
✅ UEFA Europa league = 3
✅ UEFA Super Cup 4
✅ Club World Cup = 1
Total > 6+3+4 = 1️⃣3️⃣ trophies 🏆

↪️Barcelona 🇪🇦
✅ UEFA champions league = 5
✅ UEFA Europa league = 0
✅ UEFA Super Cup = 5
✅ Club World Cup = 3
Total > 5+5 = 1️⃣0️⃣ trophies 🏆

↪️Chelsea 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
✅ UEFA champions league = 2
✅ UEFA Europa league = 2
✅ UEFA Super Cup = 2
✅ Club World Cup = 1
✅ UEFA Cup = 1
Total > 2+2+2+1+1 = 8️⃣ trophies 🏆

↪️Manchester United 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
✅ UEFA champions league = 3
✅ UEFA Europa league = 1
✅ UEFA Super Cup = 1
✅ Club World Cup = 1
✅ UEFA Cup = 1
Total > 3+1+1+1+ = 6️⃣ trophies 🏆


↪️Meanwhile Manchester City🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
✅ UEFA champions league = 00
✅ UEFA Europa league = 00
✅ UEFA Europa Conference league = 00
✅ Super Cup = 00
✅ Club World Cup = 0️⃣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…