Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
54' city 2 - 0 a villa ingawa penati haieleweki..
Bora imetokea kwenye mechi hii manaake ingekuwa ni ile timu yangu yangezungumzwa mengi sana.
goli la tatu la penati tena..
City wanaweza kutetea ubingwa tena!
sababu huwa ni mbeleko fc..
Penati ya kwanza ilikuwa mbeleko. Ingekuwa Man U hapo, maneno mia naa.
Hongereni kwa kukalia kiti kwa muda. Wanamume tutarudi kwenye kiti chetu baada ya masaa 3 yajayo.
Kwa sababu ya ushindi wa leo? Unafuatilia ligi lakini?
Penati ya kwanza ilikuwa mbeleko. Ingekuwa Man U hapo, maneno mia naa.
Hongereni kwa kukalia kiti kwa muda. Wanamume tutarudi kwenye kiti chetu baada ya masaa 3 yajayo.