Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametengenezewa mazingira mazuri ya kushinda mechi na wameshinda kweli bwana.
mkuu Ambitious unajua ile penati ya kwanza ni wachezaji wa villa wameiona ila sisi wenywe tumeshangaa penati gani ile na ukiangalia replay inaoneka kuna small contact labda linesman ndio kaiona vizuri..
Yaani wachezaji wa Villa ndio wamemwambia mwamuzi msaidizi kwamba ni penati?!?
Kubali mbeleko hiyo: ingekuwa United, mara tunabebwa, mara mwamuzi ni mchezaji wa United n.k.
waliende kulalamika baada ya kuona kainua kibendela na hapo ni linesman katubeba ila refa hajabeba kabisaa...
Haijalishi. Mbeleko ni mbeleko tu. Mwamuzi msaidizi naye ni mtoa maamuzi katika mechi.
Kubali mmebebwa kwa kupewa penati iliyozima nguvu za Villa.
mkuu Ambitious unajua ile penati ya kwanza ni wachezaji wa villa wameiona ila sisi wenywe tumeshangaa penati gani ile na ukiangalia replay inaoneka kuna small contact labda linesman ndio kaiona vizuri..
Kaka naelewa its all part of the game...time and again,officials(not only Webb) make hasty decisions but then it changes the whole complexity of the match.You got lucky today...Congrats!!
City 1 - 1 madrid
kazi ya uefa ishaisha ngoja tusubiri ueropa..