The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Astonvilla wametoka Jana kupelekwa moto na Burnley,wanaenda kukutana na sisi ambao tunawiki nzima hatujacheza ...

Mbaya zaidi hii game kwetu ni kama final ,yaani either miguu ivunjikie uwanjan or epl itue etihadi ...

Sasa Hawa astonvilla watakutana na pressing moja matata hawatapata muda hata wa kuvuta pumzi uwanjan walahi , yaani moto watakao washiwa ,watajuta kuingia uwanjani haki ya nan[emoji53][emoji53][emoji53]


Filimbi tu ikipulizwa dakika ya 0 ni kusaka goal mpaka kieleweke ....!
 
Kumbe unatukubali eeh?
 
Kama grealish atachukua epl basi man city itawapa bonus ya £15 million astonvilla....![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Liverpool ; man city wana beki mbovu sana,wanafungwa hovyo ,ila sisi tunaukuta haupitiki VVD na matip wako solid [emoji28]

Mtangazaji ; lakini Ederson ana cleen sheet nying sawa na Allison (20 clean sheet )

Liverpool ;. Huyo ederson Hana umahiri wowote anabebwa na beki ,wanabeki imara Sana man city ( dias , Laporte,stone ni solid defence) ndio zinambeba ederson ,lakin Allison ana save nyingi Sana [emoji28] [emoji28][emoji28][emoji14]
 
Usije ukachanganyikiwa dogo naona unajiongelesha mwenyewe
 
Man city tuna waombea msiwaachie hao liverkuku kombe pigeni hao Aston villa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…