The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity-20220710-0003.jpg
 
[emoji599] OFFICIAL: Manchester City have signed Kalvin Phillips from Leeds United on a 6 year deal. [emoji3514]

The English international signs for an initial fee of £42m. [emoji386]

Phillips has chosen to wear the number #4 shirt, becoming Vincent Kompany’s successor. [emoji102]

Phillips’ stats at Leeds [emoji408]:
[emoji153] 232 appearances
[emoji460]️ 13 goals
[emoji2402] 13 assists
🟨 53 yellow cards
🟥 3 red cards

Style of play [emoji460]️:
[emoji1015] Likes to play long balls
[emoji1015] Plays the ball of the ground often
[emoji1015] Likes to shoot from distance
[emoji1017] Ball interception
[emoji1017] Blocking the ball
talkmcfc-20220710-0001.jpg
 
Tumewaach Sterling na Jesus kwa pamoja tumeamua kubet kwa halaand na Alvarez [emoji23][emoji23][emoji23]

Any way uzuri foden ,Mahrez na grealish wapo ....!
 
Kiberenge wetu tumemwachia ingawa kuna wakati alituvusha kwenye magumu.

Kiberenge kiwango kilishuka, ana chenga fulani za kulazimisha ndani ya boksi ambazo recently hafanikiwi, tunamshukuru kwa mchango aliotupa Etihad.

Sheria ya Josep Guardiola ni “take the ball, pass the ball”. One touch football.

Ninachoomba ni Barcelona wasije wakapata hela kipindi hiki wasije wakamwaga mpunga kwa “Kiungo Punda” wetu Bernardo Silva.
Wabaki na ukata wao japo ni team yangu pia.
 
Sterling pamoja na kukosa kosa magori ya wazi kuna muda alikuwa anatusaidia kuamua match ...

any way wacha tutafuta damu mpya nyingine ,huenda kwa chance nyingi zinazotengenezwa na kina kdb ,bernardo Silva ,gundogun haaland na Alvarez anaweza kuscore zaidi....
 
ila Sterling na Jesus wanajua kipress hatari , Wana work rate kubwa uwanjan kitu ambacho foden na Mahrez hawana ...

Jesus na sterling wanapumzi ya kurudi nyuma kupress na kupanda mbele lakini foden na Mahrez ni wazuri wakiwa wanapandisha mashambulizi ...!
 
Back
Top Bottom