Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TT anamtaka ,chelsea wanataka kumchukua ake ,na inavoonekana Kama wakipeleka dau basi ake anaweza kuondoka ....Hv na Yule NATHAN AKE Atauzwa?
Kiberenge wetu tumemwachia ingawa kuna wakati alituvusha kwenye magumu.
Sterling pamoja na kukosa kosa magori ya wazi kuna muda alikuwa anatusaidia kuamua match ...Kiberenge kiwango kilishuka, ana chenga fulani za kulazimisha ndani ya boksi ambazo recently hafanikiwi, tunamshukuru kwa mchango aliotupa Etihad.
Sheria ya Josep Guardiola ni “take the ball, pass the ball”. One touch football.
Ninachoomba ni Barcelona wasije wakapata hela kipindi hiki wasije wakamwaga mpunga kwa “Kiungo Punda” wetu Bernardo Silva.
Wabaki na ukata wao japo ni team yangu pia.