The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Haaland haonekani kwenye training wengine wanasema labda ana injury ....lakini inasemekana kuwa jana wakati wa training halaand alikuwa anasign deal na adidas ,ndio maana hakuonekana

 
Za ndani kabisa ...


Halaand hajatokea mazoezi siku ya pili Sasa ,sababu anamkataba na adidas na hawezi vaa jezi za puma ....

Pumu ndio anamkataba na city...halaand lazima amvae puma ...

Kuna hatua zinachukuliwa kumaliza hizi tofauti ,halaand kumalizana na adidas kabla hajaanza kuvaa puma ...
 
Pumu mamaeee hii timu ina laana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…