Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mwamba hapaswi kuondoka bora aongezewe mpunga
Injury!! Moja ya sababu za kufanya mchezaji kuflop huwa ni injurykuna hati hati Halaand kukosa mechi kadhaa za mwanzoni injury
Sasa kapata lini injury ,jana hakuwepo training alikuwa anasign deal na adidas .....kuna hati hati Halaand kukosa mechi kadhaa za mwanzoni injury
Sisi uefa level zetu ni kufika final au sem final ...Hii timu ndyo ikacheze uefa mtapigwa mpka mtachakaa nyumbu watoto laana fc
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
We don't care ..Uefa 000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Pumu mamaeee hii timu ina laana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Za ndani kabisa ...
Halaand hajatokea mazoezi siku ya pili Sasa ,sababu anamkataba na adidas na hawezi vaa jezi za puma ....
Pumu ndio anamkataba na city...halaand lazima amvae puma ...
Kuna hatua zinachukuliwa kumaliza hizi tofauti ,halaand kumalizana na adidas kabla hajaanza kuvaa puma ...
Sawa kabwili fc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasemaje kibwengo ,chogo Kama madenge [emoji12][emoji23]