Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Acha kufananisha lukaka na mtu mzima Kama haaland wewe ...Halland ni Lukaku Mweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni bonge la striker subili atawaonesha hao vinabo soon [emoji23][emoji23][emoji23]Tunaamini ktk Haaland, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Lukaku Mweupe aoneshe nn?Ni bonge la striker subili atawaonesha hao vinabo soon [emoji23][emoji23][emoji23]
Kawatoa bikra ya msimu mpya ndio maanaMpumbav 2 huyo...hakutegemea kutufunga
Atatueleza EPL ikishaanZaOya nyie man shity mmemwona dogo aliyewapiga mimba leoView attachment 2309288
@Pain killer anaumwa kichwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pain killer yupo wapi?
Haya umesema wwAtafunga nyingi ila mtamkumbuka Sterling. Nani atampa huduma? Nani atamruhusu acheze labda Norwich city kule Championship. Akijifurukuta sana anapata injury miezi miwili kitandani akirudi fitness itamuandama Hadi ligi iishe
Subiriiiii...atakavyoanza kuwanyoosha daadekHalland ni Lukaku Mweupe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa kipi?Leo Hawa Liverpool watajuta kuleta timu yao uwanjan [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kapiga hata shuti kweli?Tunaamini ktk Haaland, [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Mech umeangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kapiga hata shuti kweli?
Tumeona maboko tuMech umeangalia
Tukutane jumapiliii..tutakavyo mnyoa west hamKwa kipi?
kapiga shuti kama tatu hivi.ila kiukweli kwake kaanza kazi kwa gundu[emoji16][emoji16][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kapiga hata shuti kweli?
OK in swala LA muda tu...this guy is the baddest utakuja kunambiaTumeona maboko tu
Habari ni Nunez kwa sasaOK in swala LA muda tu...this guy is the baddest utakuja kunambia
Kampeni yetu inaanza rasmi weekend ijayo vs west ham....hili kombe halitoenda kokoteKawatoa bikra ya msimu mpya ndio maana
Moto wa makaratasi tu huoHabari ni Nunez kwa sasa
Hata Chelsea walisema hivyo kwa LukakuSubiriiiii...atakavyoanza kuwanyoosha daadek
Angalia msinyolewe nyie wenyeweTukutane jumapiliii..tutakavyo mnyoa west ham