Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,178
- 4,449
Nilimtazama sana Jack Grealish uwanjani,Nikiachastrength zake.. Na kutazama Weakness zake-Anapozeesha mpira/Mtililiko wa gem/ Mashambulizi & Tatizo lingine kubwa ni mzembe,Mvivu wa ukubaji/Kupokonya mpira..! Anahitaji mabadiliko makubwa bwana huyu.