The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa machungu tuliyompa Liverpool msimu ulopita acha achukue Ilo sahan but ndoo ya EPL haiwahusu na wasisogeze pua
 
Machungu watu walikaa miaka 20 na kitu bila epl hayo machungu ayalete mancity wa juzi tu........teh kidogo anaeweza leta machungu kwa liva ni manu tu ila sio city
 
Hicho kitimu cha juzi kinakukosesha ndoo dakika za mwishooniiiii...ambapo mnge level na mahasimu wenu man u huon kama inauma?
 
Bado kabisa.............City haiwezi kuikosesha furaha liver,,,.labda kwa malegendary wenzake.....mancity najua hata akibeba miaka 10 mfululizo bado hakuna impact kule juu
 
Unajivunia makombe 19 ambayo 18 kati yake ni ya enZi za nyerere
 
Ila yanahesabika............city atanisononesha angalau akifikia 15......na hayo 18 yalibebwa kwa msuli wa maana sio hadi upate kabuzi kenye pesa ndo uanze kuonekana
 
Bado kabisa.............City haiwezi kuikosesha furaha liver,,,.labda kwa malegendary wenzake.....mancity najua hata akibeba miaka 10 mfululizo bado hakuna impact kule juu
Kusema ukweli hakunaga timu epl inayotusumbua Kama Liverpool,Bora hata tukiwa tunachezaga na Madrid au psg ila Liverpool huwa inatuwezea aisee ...

Tutakutana epl Tena ,hope pep kajifunza kitu
 
Ila yanahesabika............city atanisononesha angalau akifikia 15......na hayo 18 yalibebwa kwa msuli wa maana sio hadi upate kabuzi kenye pesa ndo uanze kuonekana
Embu nioneshe picha Liverpool akiwa amenyanyua kombe la epl tofauti na Hilo alilowapa klop ....sio mnasema mnamakombe 18 wakati epl imeanza mwaka 1990 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna watu wanampima halaand kwa game moja [emoji23][emoji23][emoji23]Tena community shield ....
 
Pep hupata wakati mgumu pale akutanapo na Klopp, Klopp anamchesha ubongo sana.
 
Back
Top Bottom