The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
 
kaka acha tu hapa nshajiongezea siku ya alhamis kuanza kushangilia maana huku mancini hana jipya..


Na hiyo michuano ya alhamisi ni mpaka ushike nafasi ya 3...
Sasa we endelea kulalama tu hapa, tutaonana msimu ujao
 
Mancini Woah
Mancini Woah
He come from Italy,
To Manage Man City,
Mancini Woah,
Mancini Woah..

waarabu wamejitahidi, mtu ambae anatolewa nje ya group stages miaka miwili mfululizo....na ukizingatia hata alivyokua inter milan record yake CL ilikua mbovu nashangaa bado wako nae na juzi juzi amesign mkataba mwingine...
 

Next season hatokuwepo tena hasa akikosa Ubingwa wa EPL na nafasi yao kubwa hawana mid week fixtures
 
lile bao la Mexes jana limenikumbusha Shaaban Ramadhani vs Raja Casablanca au Zlatan vs England,sio Messi sema ingekuwa mwingereza basi ingekuwa breaking news hadi ktk magazeti ya udaku bongo,yote 9 10,spain oyee timu zote 4 zimesonga mbele malaga juu yenu namba 1 licha ya kumuuza cazorla santiago bado haijayumba,valencia ni furaha tu kwa manolo,real madrid na fc barcelona,mabingwa wa england nje na mabingwa watetezi wanaombea shaktar wamfunge juve,spain tunasema wacha kupiga mayowe waje waone wenyewe,maana tukisema oh tunachonga sana,oh spain timu 2 tu,sasa cha ajabu wao wanaoita ligi bora eti huyo bingwa epl mwaka wa 2 anatoka mapema na asipoangalia hata mechi za alhamisi anaweza akakosa! ila farao al shaawary anawasaidia sana hadi berlsuconi kampa uraia italy
 

chezea farao wewe anaiokoa kishenzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…