Pale pep kazi anayo mpaka huyu kijana alete mambo moto motoNilimtazama sana Jack Grealish uwanjani,nikiachastrength zake.. Na kutazama weakness zake-anapozeesha mpira/mtililiko wa gem/ mashambulizi & tatizo lingine kubwa ni mzembe,mvivu wa ukubaji/kupokonya mpira..! Anahitaji mabadiliko makubwa bwana huyu.
Kuna watu walimpima Nunez kwa preseason tuKuna watu wanampima halaand kwa game moja [emoji23][emoji23][emoji23]Tena community shield ....
Anaweza akawa Rahm sterling part two, rahm pamoja nakupewa darsa na pep kunavitu kashindwa kubadilika,mfano umakini & utulivu pale awapo katika 18 za mpinzani.Pale pep kazi anayo mpaka huyu kijana alete mambo moto moto
Mkuu huu ndio mtihani ...E.halaand,Bwana Pep ataweza kumtumia vizuri katika mfumo wake..??Sina shida na uwezo wa Bwana mdogo,Lakini Leo Uwanjani alikuwa anaonekana Mkiwa: na Pep hana rekodi nzuri sana kwa wachezaji wengi wachezao namba tisa asili.
Grealish Hana uwezo mwingine tofauti na huo ,na ndio mwisho wake ...Nilimtazama sana Jack Grealish uwanjani,Nikiachastrength zake.. Na kutazama Weakness zake-Anapozeesha mpira/Mtililiko wa gem/ Mashambulizi & Tatizo lingine kubwa ni mzembe,Mvivu wa ukubaji/Kupokonya mpira..! Anahitaji mabadiliko makubwa bwana huyu.
Siku za nyuma enzi za aguero nilipata kuangalia interview zake kuhusu kubadilika uchezaji wake(kurudi nyuma kusaidia ukabaji,kutokea pembeni) kwa maelekezo ya Pep. Anadai mwanzoni alipata taabu sana.Mkuu huu ndio mtihani ...
Jesusu alijaribu kunyumbulika kwa kupelekwa pembeni ,lakin alikuwa anawin ....
Leo haaland asipoperform vzuri pale Kama typical no 9 ,basi hakuna namna nyingine pep atafanya ...
Maana halaand kutokea pembeni hawezi ....
Madrid tungeingia mkenge.Haaland tumepigwa!
hamna kitu pale.
Msajilini Samatta hapo Man City ili wabongo wamchangamshe tena GrealishGrealish Hana uwezo mwingine tofauti na huo ,na ndio mwisho wake ...
Kiufupi tulipigwa kabisa ....
Foden yupo vzuri sana ,nashangaa anaanza bench .,!!
Ni kweli lijamaa linaweza Mpira na halitanii ila jana alikuwa mkiwa japo movements zake zilikuwa nzuri. City ilifia kwa KDB Jana.E.halaand,Bwana Pep ataweza kumtumia vizuri katika mfumo wake..??Sina shida na uwezo wa Bwana mdogo,Lakini Leo Uwanjani alikuwa anaonekana Mkiwa: na Pep hana rekodi nzuri sana kwa wachezaji wengi wachezao namba tisa asili.
Watoto mna kazi sanaEmbu nioneshe picha Liverpool akiwa amenyanyua kombe la epl tofauti na Hilo alilowapa klop ....sio mnasema mnamakombe 18 wakati epl imeanza mwaka 1990 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ndio maneno ya kiume sasa, na Epl itakuwa na competition balaa maana hata Arsenal watakua si haba. Hivyo City na Liverpool tujipange.Kusema ukweli hakunaga timu epl inayotusumbua Kama Liverpool,Bora hata tukiwa tunachezaga na Madrid au psg ila Liverpool huwa inatuwezea aisee ...
Tutakutana epl Tena ,hope pep kajifunza kitu
Mzee japo haaland wanamshambulia sana jana pep kasema alikuwa anajipostion vzuri na bado anamwamini ...!The white lukakuView attachment 2309439
Liverpool ni wanamadhaifu yao ,ambayo ni consistency basi ...!Hayo ndio maneno ya kiume sasa, na Epl itakuwa na competition balaa maana hata Arsenal watakua si haba. Hivyo City na Liverpool tujipange.
Usimlinganishe Haaland na Lukaku. Haaland atafunga magoli mengi tu ila tatizo la city atafungwa sana kwa sababu ya defenseHata Chelsea walisema hivyo kwa Lukaku