The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ndugu zanguni EPL imeisha kabla haija anza.
Liver tumeisha libeba
 
Ndugu zanguni EPL imeisha kabla haija anza.
Liver tumeisha libeba
Sema naona wengi wanapedict Liverpool kuchukua epl .....


Baada tu ya kutufunga community shield Liverpool kapewa kipaombele Cha kuchukua epl .....top four

Liverpool
Man city
Spurs
Chelsea.
.
.

Kiufupi hizo ni prediction tu ,but naamini tutapambana mpaka damu ya mwisho..
 
Haaland haitaki kwenye play style ya kipara. Kipara anawahitaji forwards wazuri kule mbele style ya Sterling. Wide players wanaoweza kubadilishana position wakati wanacheza. Strikers Huwa ni milingoti inayofaa counter attack system kama za Conte
Kipara na possessive football striker hatakowi. Uwepo wa striker inakuwa kama Kuna upungufu wa wachezaji uwanjani
 
Yaani ww jamaa ni mkiwa kweli, unajitekenya na kucheka mwenyewe [emoji23][emoji23]
Na Diaz huyo huyo ndie aliyetupa UCL sisi Chelsea mwaka juzi. Huyo atakuwa anabet kwenye mechi kubwa au ni agent
 
ile game ya Liverpool imeonesha kuwa haaland tayari kashaelewa mfumo wa city ,na Kama ameweza kupata clear chance kwa team kubwa Kama Liverpool yenyewe defender wakubwa ,hizo timu nyingine zenye kina magwaya lazima atawaweka magoli ya kutosha ....!!
 
Na Diaz huyo huyo ndie aliyetupa UCL sisi Chelsea mwaka juzi. Huyo atakuwa anabet kwenye mechi kubwa au ni agent
Dias ni defender mzuri ila kuna muda hajui kujipostion wakati anajilinda ....
 
Wale kuku baada ya kutufunga community shield naona wameshapewa na odds kubwa za kuwa bingwa ...

sisi tutawaonesha kuwa mwenye pumzi ya kupumulia game 38 mpaka may 2023 ni nani ....
 
Wale kuku baada ya kutufunga community shield naona wameshapewa na odds kubwa za kuwa bingwa ...

sisi tutawaonesha kuwa mwenye pumzi ya kupumulia game 38 mpaka may 2023 ni nani ....
Maji waTaita mmA
 
[emoji860] Pep on the left back situation: "Nothing special. Josh is there. Joao is there, Nathan can play there. Some surprises we can do. We will see."
 
Mwaka jana siku Kama ya Leo grealish alitua kwenye viunga vya etihad
 
Hahaaa Hawa Liverpool hawana midfielders,soon watakuja kuomba pooooo siku zijazo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama Cita nyumbu watoto laana fc mbona hamna furaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…